Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Wanasemanga kuwa Kenya ni ya watu wana-clan ya kenyatta kutoka maeneo ya mlima Kenya. Sasa nimeamini....:A S shade:
 
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?

Zaidi ya nusu ya kura zilizopigwa. Mgombea akipata nusu ya kura zote, basi kura moja tu inamwezesha kuvuka nusu. Ukisema 51% unahitaji kuhesabu idadi kubwa zaidi kulingana na waliopiga kura km watu millioni 12 51% ni 6,120,000. 50%+1 ni 6,000,001!
 
Akubali tu kuwa chungwa limeshindwa..
 
Source: BBC

Raila Odinga amekataa kukubali matokeo ya urais yaliyompa ushindi wa
asilimia 50.03 mpinzani wake bwana Uhuru Kenyatta. Ameahidi kuwa
atafikisha malalamiko yake mahakamani.

My take: Mwaka 2007 bwana Odinga alikataa kupeleka malalamiko juu ya
matokeo ya urais mahakamani kwa sababu kuwa mahakama hazikuwa na usawa
wa kuwezesha haki kutendeka..je mahakama zimekuwa za kuaminika sasa
wakati ambao yeye ni mmoja wa serikali iliyo madarakani?

Lets wait and see..

Wale 2 jamaa waliosemekana wamehack system ya kuhesabia kura wamefikia wapi
 
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?
hiyo +1 inamaana kura moja kwa sababu kenyatta ameshinda kwa 50.03% tayari kuna 50% na hiyo 0.03% ukizidisha kwa kura zote unapata zaidi ya kura 1 inayotakiwa
 
wazichape tena tufaidi!
avatar27298_33.gif

Siku hizi JF ni kama kokoro, takataka, mazagazaga, uozo etc utaukuta ndani munyumba
 
Duu, inabidi CCM imrudishe ROSTAM AZIZ upesi kwani waliyekwenda mkampenia Kabwagwa!!!

....najua sasa hivi wataanza oooh, Magufuli na Rostam hawakutumwa na Serikali ya Tz.....ila kwavile Wakenya "wanaakili" wataipima kauli hii, ambayo najua itatolewa na Salva wa Magogoni.
 
avatar27298_33.gif

Siku hizi JF ni kama kokoro, takataka, mazagazaga, uozo etc utaukuta ndani munyumba

bado tunashida kubwa ya critical thinking.! kufikiri kwako ni kufupi mno ndugu yangu.
 
Kwani matokeo ili yawe sahihi ni mpaka yeye ashinde?
Naona jamaa ameanza tena kuonyesha rangi zake halisi.....
 
Mm masikitiko yangu the HAIG inamsubiri na mwingereza ameshatia Zengwe mostly likely lazma hatia apatikane nae so ipo possibility hata kama sio leo wakenya watarudia election wakati Rais wao yuko Jela

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa style hii Wakikuyu wataendelea kuitawala Kenya maisha,maana wao wakiweka mgombea wataitaji kabila moja tu kama mgombea mwenza...,pamoja kuwa Uhuru ameshinda ila alitumia pesa nyingi sana,vyanzo vinasema kampeni za uchaguzi za Kenya ziligarimu zaidi ya US$200million
 
Source umesema BBC? Labda kwa ndoto yako. Raila is yet to make his position known.
 
Back
Top Bottom