Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Raila Odinga akataa matokeo na ameahidi kufikisha malalamiko Mahakama Kuu.

Ni mnyukano huo unanikia tena


Hali inatisha hofu imetanda kila kona ya jiji la nairobi wageni wanaogopa wengine wanaondoka kwenye makazi yao na kwenda mahotelini MBIVU NA MBICHI ZITAJULIKANA BAADAE KWA SASA NI NGUMU KUTABIRI NINI KITATOKEA Mungu ibariki Africa Mungu ikumbuke Kenya.
 
Siasa mchezo mchafu and always will be.

Hapa uwezekano wa kurudiwa uchaguzi wa urais ni jambo gumu sana unless Bwana Odinga ana strong evidence juu ya uchakachuaji wa kura ulivyofanyika.

Internal & external factors zimechamgia kwa kiasi kikubwa ku influence results. Kutokana na habari nilizokuwa naziona kwenye mtandao, nchi za magharibi pamoja na USA zilitaka Raila ashinde kwani ndio kibaraka wao na vilevile Uhuru hawamtaki ukiachilia mbali kesi aliyokuwa na The Hague.

Kwa mtazamo wangu watu wa nje kuwa na influence nyumbani kwako ni kitu ambacho mimi sikubaliani nacho hata kidogo ila Uhuru nae ana weakness zake ambazo nina wasiwasi zinaweza kuja kuwa cost waKenya wote kwa ujumla.

All in all ingekuwa na candidate mwengine aliyeshinda beside Uhuru binafsi ningefarijika zaidi.

Nawatakia amani wa Kenya wote.......
 
ata kama akienda mahakaman lazima watarudi round 2 ambako atapigwa vibaya this time 55% by 45%.
namfananisha na SAF
 
Raila alishashindwa kwenye numbers pale Ruto na Uhuru walipoungana. Yaani that was obvious. Huwezi kuaashinda kenya bila kushinda mojawapo kati ya central na rift valley. Huko ndo wakenya walikojazana. Siku zote Railla alikuwa na support Rift Valley. Safari hii kashindwa kupata support kule ni lazima akubali kashindwa kihalali kabisa. Tatizo letu waafrika wengi ni cowards tunaogopa ku concede hata kama tunajua tumeshindwa. Nadhani itakuwa busara kubwa kwa Raila kuachana na waoga wanaomzuka na kumcbochea kukataa matokeo. Akubali na atoe hotuba ya kuconcede. Wengi tutamheshimu sana.
 
Congratulations to RAO, on your glowing achievements for the people of Kenya. Since it is not about you, but about the people of Kenya, it will be good if you concede defeat and enjoy your old age. Consider that. The bed Kenyan voters have made, let them lie on it..
 
kama ana uthibitisho wa kutosha aende mahakamani ila kama hana awaache wakenya kwa amani
awaachie rais waliyemchagua - vinginevyo heshma yake itashuka sana

Miaka 67 anatafuta nini tena? apumzike tu ale alivyochuma, nafikiri hata sisi kwenye hii katiba yetu tuweke umri wa mwisho wa kugombea miaka 60.
 
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?

50%+1= 51%, hivyo kama Uhuru amepa 50.03%< 51% basi hajashinda na kufuatana na katiba yao uchaguzi lazima urudiwe baina ya wawili hao wanaoongoza kwa kura!!!
 
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?

50% + 1, Apate 50% ya kura zilizopigwa na angalau kura 1. (50% of total cast votes + at least 1 vote)

Yeye amepata (50% + 4,099 votes) ambapo ukichukua 4,099 votes ya total votes 12,338,667 ni 0.03% to make 50.03%.
 
50%+1= 51%, hivyo kama Uhuru amepa 50.03%< 51% basi hajashinda na kufuatana na katiba yao uchaguzi lazima urudiwe baina ya wawili hao wanaoongoza kwa kura!!!
Sio 51% mkuu. Ni 50% plus 1 vote. Piga hesabu sasa
 
50%+1= 51%, hivyo kama Uhuru amepa 50.03%< 51% basi hajashinda na kufuatana na katiba yao uchaguzi lazima urudiwe baina ya wawili hao wanaoongoza kwa kura!!!


No si hvyo, 50% + 1, is (50% of total cast votes + at least 1 vote). Uhuru amepata 4,099 above 50% yaani amepata 6,173,433 wakati 50% ya total cast votes 12,338,667 ni 6,169,333.5 na tofauti ni 4,099 votes. Ambayo ni sawa na kusema (50% + 4,099).

Percentage ya 4,099 kutoka kwenye total 12,338,667 ni sawa na 0.03%. So 50% + 4,099 = 50% + 0.03% = 50.03%. Kama ukielewa hapo hakuna kurudia round ya pili, cos (50% + 4,099 votes) is more than (50% + 1 vote).
 
Mm masikitiko yangu the HAIG inamsubiri na mwingereza ameshatia Zengwe mostly likely lazma hatia apatikane nae so ipo possibility hata kama sio leo wakenya watarudia election wakati Rais wao yuko Jela

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mimi nimewashangaa wakenya kwa kuamua kumchagua mtuhumiwa!!
Pengine labda ndiyo demokrasia; ila nimetia shaka busara zao na utashi wao.

Ila nawatakia kila la heri. Na nawaonea huruma kwa matokeo hayo.
 
Huyo Jaluo akubali kushindwa tu na ajaribu 2017 tena
 
dah jamaa mtata ....kwani matokeo hayo hawaendi round ya pili?


Povu na mimate vinamchuruzika...
Damu za wakenya waliopoteza maisha mwaka 2008 kwa ajili ya yeye kuwa Raisi leo hii inamwandama baada ya yeye kuwasaliti na kukubali kupewa Cheo cha waziri mkuu.

Kama vp alianzishe aone.
Hapo ndo atawajuwa UhuRuto
 
Back
Top Bottom