alphoncetz
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 280
- 50
kama ana uthibitisho wa kutosha aende mahakamani ila kama hana awaache wakenya kwa amani
awaachie rais waliyemchagua - vinginevyo heshma yake itashuka sana
Ni mnyukano huo unanikia tena
wazichape tena tufaidi!
Jibu laweza kuwa 'NDIO', si wana katiba mpya?
I knew this was coming!
kama ana uthibitisho wa kutosha aende mahakamani ila kama hana awaache wakenya kwa amani
awaachie rais waliyemchagua - vinginevyo heshma yake itashuka sana
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?
hiyo +1 inamaana kura moja kwa sababu kenyatta ameshinda kwa 50.03% tayari kuna 50% na hiyo 0.03% ukizidisha kwa kura zote unapata zaidi ya kura 1 inayotakiwa
Sio 51% mkuu. Ni 50% plus 1 vote. Piga hesabu sasa50%+1= 51%, hivyo kama Uhuru amepa 50.03%< 51% basi hajashinda na kufuatana na katiba yao uchaguzi lazima urudiwe baina ya wawili hao wanaoongoza kwa kura!!!
Hivi wanaposema apate kura 50%+1. hyo Plus one ina maana gani?
50%+1= 51%, hivyo kama Uhuru amepa 50.03%< 51% basi hajashinda na kufuatana na katiba yao uchaguzi lazima urudiwe baina ya wawili hao wanaoongoza kwa kura!!!
Mm masikitiko yangu the HAIG inamsubiri na mwingereza ameshatia Zengwe mostly likely lazma hatia apatikane nae so ipo possibility hata kama sio leo wakenya watarudia election wakati Rais wao yuko Jela
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
dah jamaa mtata ....kwani matokeo hayo hawaendi round ya pili?