TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Breaking News::: Raila announces he will go to court to challenge the results...
uchaguzi uliendeshwa na tume HURU, siyo serikali ya Kenya
He has all due rights to challenge the results so long as he has hard and sophisticated evidences to back up his arguments.
Back to our Tanzania: I doubt if Judge Warioba will insert this clause into our prospective new constitution (challenging the presidential results).
Jaji Warioba hana mamlaka ya kuinsert clauses....
Ana haki ya kuhoji matokeo.
Akhsante mkuu Jackton hapo kwenye red,uchache wa mtu utaugundua namna anavyotokota kwenye mambo ya msingi.Demokrasia bado ni somo ambalo halijaeleweka vichwani mwa watu wengi.Tatizo la Waafrika, ukimchukia mtu, unachukia na hoja zake hata kama ni za maana. Kwa mfano, Raila anasema kuna vituo ambavyo kura zimekuwa nyingi kuliko watu waliojiandikisha! Tena basi, si kituo kimoja! NI zaidi ya vituo 10. Mawakala wake walitolewa nje. Kura zilijumlishwa na kutangazwa matokeo wakiwa hawakushirikishwa. Je, kukubali upuuzi wa aina hiyo ndiyo kuimarika kwa demokrasia? Ushindi wa hila si ushindi.
Huyo Uhuru wewe pesa yake unaijua, wacha mchezo! hebufuatilia hizi link: www.therichest.org/tg/richest+Person+In+KenyaKwa uwezo alio kuwa nao Odinga hakuhitaji kung'ania huo Urais. Anajipa pressure tu wenzake hawa mtaki huko.
wewe si shabiki wa raila ni mnafiki na mzandiki....mimi ni mpenzi sana wa odinga lakini naamini wakenya wamemchagua kenyatta kuwa raisi wao na mzee wangu odinga kubali matokeo na nina amini tume ijafanya hujumaa kabisa ni kweli mzee wangu odinga umeshindwa nakutakia maisha mema ya kupumzika na ushauri mzuri achana na siasa tena kapumzike ila nacho amini mtoto wako wa kuzaa uwenda akaja kuwa raisi wa kenya...na kikubwa waambie wajaluo wazaliane kwa wingi kwa sababu ukabila ndio umekuangusha.
Kijakazi inaonyesha si mfatiliaji wa siasa za kenya, ukweli ni kwamba huyo aliye madarakani kama rais hivi sasa anamuunga mkono Kenyata hivyo wajua hata yeye alipata vipi urais wakati alipochukua kwa mara ya pili.
Lakini haitoshi kuna watu wanalalamika kama Odinga ndio alifanya matukio ya vurugu za wenyewe kwa wenyewe uchaguzi uliopita, hili nalo si kweli kwa kuwa si yeye aliye jiweka madarakani ila Mwakibaki hakuna mtu ambaye hafahamu kuwa Odinga alishinda uchaguzi huo ila walichukua nchi kwa nguvu.
Narudi tena kutoa mawazo yangu kwenye siasa za africa na hasa za wenzetu wa kenya, hoja si kushindwa ila unashindwa vipi huwezi kuona karatasi za kura zina peperuka barabarani wakati wa kupiga au kuhesabiwa kura na hata baada ya uchaguzi lakini hili kenya limetokea uchaguzi huu, pia kituo watu 500 wamejiandikisha kupiga kura lakini unakuta waliopiga kura kwenye kituo husika wako 3000.
Mimi na sema mtawala yoyote ambaye ameingia kwa njia ya haramu, basi utawala wake huwa ni washida sana na mifano tunayo hata hapa kwetu nyumbani, hivyo tumaini la wananchi wa kenya kwa kijana litakuwa kama hapa kwetu kwa baba riz one.
Ngoja tuone kwa kuwa utawala wa nchi si kitu kinacho fanyikia chumbani ila ni dhahiri.
mkuu tofauti ya kura ni kubwa sana kweli....ila je? hiyo tofauti ni ya haki au ndio yale mambo yetu na kina mzee wa ndovu yamepita hapo??tofauti yake na uhuru ni kubwa sana ata uchaguz ukirudiwa atapigwa chin, infact baadhi ya watu wake hawatapiga kura kwa sababu anaonekana king'ang'aniz wa madaraka na hajal matakwa ya wakenya wenzake.