Kiki anatafuta Huyo mama yenuTusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 chademma iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Kwani, unawajua marafiki zake wote? Kwani, ni dhambi kuwa na marafiki zaidi tena wapinzani wa CCM kama alivyokuwa mpinzani? Acheni uzwazwa na roho mbaya?Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Tusitafute kiki bila mpangilio.

hizi ni picha tu hata maadui hupiga mimi naobgelea urafiki wa dhati baina ya Hayatu Magufuli na Odinga kila mmoja akishiriki kampeni za mwenzake kisiasaTatizo umekariri stori za zamani.. Mambo yamebadilika.
View attachment 3490473View attachment 3490474
Heche mtu wa drama lakini ndio wanasiasa walivyo wote, hujiulizi tu alikuwa Dar kwanini aipande ndege direct to Nairobi? kaenda kwao Mara akijuwa fika watamzuia na akawa kisha panga vijana waje pale ili alete sitofahamu tu ila mimi nawalaumu pia Immigration, nyinyi mnajuwa mtu anatuta kiki na mnampa, walitakiwa wala kutomuuliza pita tu nenda sababu hana madhara yoyote na angepata aibu, sababu hata yeye anasema nilisikia watanizuia ndio akapanga drama zile.Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Wewe kilaza ndiye unatafuta kiki yaani hii nayo ni kesi? Kwani wewe ni mkewe Odinga hadi uwajue marafiki zake wote?Kweli CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Tusitafute kiki bila mpangilio.