Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

Shida ya sisi huwa tunajibu kabla ya kusikiliza. Kuna uzi nimesema ukihalalisha bangi basi itapoteza thamani, ukihalalisha mirungi basi itapoteza thamani na ukimuacha mwanasiasa azurure tu atapoteza mvuto. Point yangu Heche alikuwa amatengeneza script hii na wale immigration walivyokuwa wajinga wakaingia mkenge. Nakubalina ingekuwa mimi mwenye maamuzi ningempa na mauwa ya kuweka kaburini lakini kuna watu hawafikiri vizuri. Mwanasiasa bila kiki hawezi ku trend...
Like seriously?
Ulimsikia mhusika aliyeshikilia passport? Maelezo aliyompa heche wakati anawahoji kwann wanamzuia?

Then heche awe amepanga hiyo drama?
Aisee basi kuanzia huko ngazi za juu wote hawana akilli kukubali huu mchezo.

Anyway, I don't buy this, Acha kila mmoja abaki na anachokiamini
 
Ulimsikia Heche anasema nini? kasema toka jana nilijuwa watanizuia sasa unadhani anamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom