Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mleta mada kila siku tunamwambia, arudishe tu jina lake la zamani Jingalao maana hili ndo linamfaa zaidi na kuakisi vizuri akili yake ilivyoTatizo umekariri stori za zamani.. Mambo yamebadilika.
View attachment 3490473View attachment 3490474
Hamna point kwaulicho andika, hiyo sio sababu ya kuzuia asihudhurie msibaTusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Acheni upumbavu kwamba rafiki wa marehemu wote uliwajua, tunaendelea haribu taifa kwa wapumbavu kama wewe mjinga mkubwaTusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Sawa, Mwambie huyo Mwendazake akamzike basi.Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Tusitafute kiki bila mpangilio.

Umetoa sababu ya kitoto san, btw hiyo sio sababu ya kufanya akina heche wasiende kumzika odinga!!Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Sawa mke wa marehemu, ukisema wewe sisi tupinge? Maana wewe ulikuwa karibu sana na baba!!Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Inahusiana nn na mtu kwenda kwenye mazishi?Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Kwamba angepqnda ndege asingezuiliwa?Heche mtu wa drama lakini ndio wanasiasa walivyo wote, hujiulizi tu alikuwa Dar kwanini aipande ndege direct to Nairobi? kaenda kwao Mara akijuwa fika watamzuia na akawa kisha panga vijana waje pale ili alete sitofahamu tu ila mimi nawalaumu pia Immigration, nyinyi mnajuwa mtu anatuta kiki na mnampa, walitakiwa wala kutomuuliza pita tu nenda sababu hana madhara yoyote na angepata aibu, sababu hata yeye anasema nilisikia watanizuia ndio akapanga drama zile.
Bora ht utumbo ukioshwa mtamuUmeandika utumbo mtupu
Sasa simngelimuacha aende akajikombe kimyakimya ,lakini akili kubwa ikawachungulia umbali mkubwa na mkajaa .Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Watu wenye IQ wataelewa wanasiasa tabia zao, hivi unadhani kama sio ile drama kuna mtu angekuwa anamuongelea leo? sijasema nampangia, nimesema alikuwa anajuwa anafanya nini sio bahati mbaya. Alipanga watu kabisa sababu alikuwa anajuwa hatapita huku airport ndio asingepita lakini wale ndugu zake wa kule wasingekuwepo.Kwamba angepqnda ndege asingezuiliwa?
Sshv mnawapangia watu maisha kwamba wapande basi ,gari binafs au ndege,akili za wapi hizi jmn?
Aisee hili Taifa Mungu mwenyewe aingilie kati
We upo kwenye mawazo yake ? Unajua nn kilimfanya aende kwao kwanza ?
Kuna muda tumieni akili basi
Ok, Na mi nakuuliza alyeitaka hiyo drama nani?Watu wenye IQ wataelewa wanasiasa tabia zao, hivi unadhani kama sio ile drama kuna mtu angekuwa anamuongelea leo? sijasema nampangia, nimesema alikuwa anajuwa anafanya nini sio bahati mbaya. Alipanga watu kabisa sababu alikuwa anajuwa hatapita huku airport ndio asingepita lakini wale ndugu zake wa kule wasingekuwepo.
Shida ya sisi huwa tunajibu kabla ya kusikiliza. Kuna uzi nimesema ukihalalisha bangi basi itapoteza thamani, ukihalalisha mirungi basi itapoteza thamani na ukimuacha mwanasiasa azurure tu atapoteza mvuto. Point yangu Heche alikuwa amatengeneza script hii na wale immigration walivyokuwa wajinga wakaingia mkenge. Nakubalina ingekuwa mimi mwenye maamuzi ningempa na mauwa ya kuweka kaburini lakini kuna watu hawafikiri vizuri. Mwanasiasa bila kiki hawezi ku trend...Ok, Na mi nakuuliza alyeitaka hiyo drama nani?
Anaezuia au anaezuiliwa?
Hivi km wangegonga hiyo passport apite kimyakimya nani angejua?haya yote yangetokea?
Tutumie akili za kawaida tu hapa bila hiyo iq kubwa unayoisema!