Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Watu wanawaza namna ya kuzima soo la bei ya sukari huku Corona, huku Odinga anapiga simu? Mwambieni simu ya prezidaa iko chaji pale kibandani kwa Masawe ikijaa atampigia ila mpaka akiweka salio[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raila kama anajisikia kuongea aongee sio kumung'unya maneno. Mtu mzima hivi kushindwa kuwa jasiri na kuzungumza uhalisia ni aibu kwa jamii!! Yaan anatuambia mtu anashauriwa vibaya, miaka 5 kakaa na washauri wanaomshauri vibaya na bado hashtuki (tena Rais)!! Si aseme tu "jamaa" ni kila kitu (hashauriki) badala ya kumung'unya maneno!
 
Mkuu, umekalia nini hapo? Kwa taarifa yako viongozi wote wapo humu. Unataka hadi wakuandikie barua kitimoto wewe?
Binamu yangu yupo kwenye kamati ya usalama wa rais, kanipa yote jinsi wanavyoona posts za mitandaoni, wana nguvu zote juu ya vyombo vyote vya habari na internet nchini.
 
Mwishowe magufuli ni mauti. CCM acheni kujifanya wajanja hadi kwa uso wa kifo.
Kufa sio kutahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…