Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye ni Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa ana PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong baba
 
Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye na Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa and PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong baba
Magu bana! eti amepeleka maabara sample. ya mapapai kupiima covid- 19
 
A.K.A Mr. IKnowItAll
Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye ni Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa ana PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Message ni fupi mno kujua kama kuna specific issue ya kushauriwa.
Au Odinga anafikiri President Magufuli is grossly ill advised ,anataka Magufuli afute cabinet ministers wake?
Sijamuelewa.
 
Paukwaaa...pakawaa ilitakiwa awe wazi ni katika mambo yepi hasa
Japo Raila ni rafiki mkubwa wa JPM, lakini inaonekana hajamfahamu vizuri. Washauri wa JPM wameshakata tamaa. Baada ya kumshauri na ushauri wao ukapotezewa, wameamua kuwa kimya wamwache afanye anavyoona yeye inafaa.
 
L
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.

WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Laiti angejua kwamba hashauriki...
 
.
IMG_20200503_123028.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom