nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
hahahaHii itakuwa fake news,oginga hawezi kutusaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaHii itakuwa fake news,oginga hawezi kutusaliti
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Direct speech and indirect speechHiyo tweet ya Odinga iko wapi??
SABCNews we mtu mweusi
Hi, Jaramogi, have you ever heard the saying that: "power corrupts, but absolute power corrupts absolutelly!!!"Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Odinga hakujua kua anarafiki dish limepoteza channel kitamboWanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Pambaneni na hali yenu ya Ngoswe mwachieni Ngoswe.Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Yupo mwigu atamjibu soon,mwendo wa kupraise tu kama kinga ya utumbuzi,bahati imerudi mara mbili
Swali ni kweli rais Magufuli anashauriwa vibaya?.Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Anashindwa kujibu hoja anakimbilia kuita watu MABEBERU?Kumbe huyu naye anatumika na mabeberu
Jr[emoji769]
Hiyo tweet ya Odinga iko wapi??
Hahahaha