Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye ni Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa ana PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong babaWanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?