Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye ni Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa ana PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong baba
 
Magu bana! eti amepeleka maabara sample. ya mapapai kupiima covid- 19
 
A.K.A Mr. IKnowItAll
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Message ni fupi mno kujua kama kuna specific issue ya kushauriwa.
Au Odinga anafikiri President Magufuli is grossly ill advised ,anataka Magufuli afute cabinet ministers wake?
Sijamuelewa.
 
Paukwaaa...pakawaa ilitakiwa awe wazi ni katika mambo yepi hasa
Japo Raila ni rafiki mkubwa wa JPM, lakini inaonekana hajamfahamu vizuri. Washauri wa JPM wameshakata tamaa. Baada ya kumshauri na ushauri wao ukapotezewa, wameamua kuwa kimya wamwache afanye anavyoona yeye inafaa.
 
L Laiti angejua kwamba hashauriki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…