Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Naawangalia alafu nasema hiiiiiiiiiiiiiiii.....

Ila huyu bwana mkubwa JEi PiEMU Mungu amamuona..Tanzania tuna safari ndefu sana.Mungu atuongoze na utupatie viongozi walio waadilifu lkn hawa tuliokuwa nao mmmh Mashaka matupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Raila kanena vyema.

Wengi hili linawahusu. Tokea mheshimiwa Mbatia, Baraza la ushauri, wote kabisa hadi askofu Gwajima - wote maji ga nyanja!

Wakenya tusaidieni kumpata Omolo sharing kusema na huyu ndugu yetu, huku wenzenu twafa tukijiona.
 
Hi, Jaramogi, have you ever heard the saying that: "power corrupts, but absolute power corrupts absolutelly!!!"
That's your friend's state of affairs.
 
unadhani kwa nini Mseveni hakuandika wajichozungumza na jiwe?walizungumza lakini hajaandikiki
 
Odinga hakujua kua anarafiki dish limepoteza channel kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambaneni na hali yenu ya Ngoswe mwachieni Ngoswe.
 
Swali ni kweli rais Magufuli anashauriwa vibaya?.
Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila... - JamiiForums

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums


P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…