Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Hata jina lako tu linadhahirisha wewe ni mjinga mtumwa wa akili.Kenya mtaipata wapi shughulikieni shilingi yenu kwanza inashuka kila siku, elfu 7000/= zako kwa mwezi unazopata kuipigania nchi yako halafu zinakufanya uwe mtumwa ndani yako utaendelea kuvumilia mpaka lini? hatujiskii raha kuongea kiswahili vizuri bila ya hela mfukoni., endelea kujifukiza au kunywa miti shamba itakugarimu maisha yako.
Hakuna cha Odinga, Uhuru, Museveni wala President wa South Africa
Because they do wear the same shoe size number.Wakati viongozi wenzake wakimsaka kwa udi na uvumba yeye yuko bize na kumshawishi Mrema na TLP wamuendorse kwenye uraisi
Na hawa uliowataja ndiyo wangetusaidia Kutupa Sukari, ila kwa Kiburi chetu sasa ni Mwendo wa Chai na Chumvi ya Ununio tu.
Jamani hiyo mtu yuko "frustrated & confused"Hakuna cha Odinga, Uhuru, Museveni wala President wa South Africa