Kenya 2022 Raila Odinga anatapatapa: Ameibuka na hoja tofauti, sasa anadai Ruto hakufikisha kura 50% + 1

Kenya 2022 General Election
anaitumia haki hiyo vibaya sana! anazidi kupoteza resources za wakenya bure!!
naamini mahakama itatupilia mbali huu upuuzi wenye lengo la kupowapotezea muda wa maendeleo wananchi.
It is not over until it is over.
 



Nadhani umeamua kukurupuka bila kuwa na hoja ya msingi.

Nimepitia nondo za RAO zilizopelekwa mahakama ya juu kabisa.

Zipo hoja zaidi ya 100 wewe umeamua kukimbilia kipengele kidogo pengine kupotosha au kufurahisha nafsi yako.

Hoja kuhusu ushindi wa 50 na 1 ni miongoni mwa sababu RAO kaielezea kwamba hata ukichukua hesabu ambazo zipo katika port ya Tume bado Ruto hajafikisha idadi ya kura halali zitakazomwezesha kuwa Rais.

Na kushauri pitia upya hoja zilizopelekwa mahakamani usikimbie kuzungumzia vipande vichache ili kupotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…