Siwezi kukulazimisha kwakuwa unayo machi lakini hutaki kiona...unayo masikio hutaki kusikia. Pole...Magufuli hakamatiki wala havitwi shati...toa ujinga wako hapa! mafisadi wameanza kuondolea toka enzi na enzi. tunayo mifano ya wanaoitwa mafisadi papa ambao waliagusha kipindi cha kikwete. sasa Leo hii ni fisadi yupi Wa kutisha unayeweza kusema ameondolewa na serikali yako ya maigizo
Wazazi wako wamepata hasara.sasa akimuiga huyu Wa kwetu wakenya si watakuwa wamepotea? huyu Wa kwetu anashangiliwa na watu wachache ambao kwa bahati mbaya walinyimwa upeo Wa kufikiri hivyo wao ni akina ndiyo mzee
kumbuka pia anapingwa na watu wachache hususani wajinga wakubwa!sasa akimuiga huyu Wa kwetu wakenya si watakuwa wamepotea? huyu Wa kwetu anashangiliwa na watu wachache ambao kwa bahati mbaya walinyimwa upeo Wa kufikiri hivyo wao ni akina ndiyo mzee
Ni kweli. Lakini asifanye Watanzania wanaoishi na kufanya kazi huko waonekane ni ADUI wa serikali ya Kenyatta. Hilo halikubaliki. Yeye ajitetee tu kivyake.Raila Odinga anapoteza tu mda wake Uhuru Kenyatta atachukua nchi kwa kishindo cha speed 650/Kph
Mafisadi wa samaki, nyumba, kivuko, barabara zisizo na ubora wote wameondolewa.Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????
Upuuzi kufufua shirika la ATCL?
Upuuzi kuleta treni ya umeme?
This is a challenge kwa kweli hivi iweje mnashangilia miradi bila kuuliza impact ya miradi iliyopita kwenye maisha ya mtanzania!! Hta awamu zilizopita mlituaminisha gesi ingebadili maisha yetu na cjui utalii mkatuaminisha ungeongeza pato la taifa BUT NOW WHAT HAPPENED????Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????
Upuuzi kufufua shirika la ATCL?
Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Upuuzi wa kuwaondoa wenye vyeti feki na kumuwacha mwenye cheti fekiUpuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????
Upuuzi kufufua shirika la ATCL?
Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Mvuvi wewe huwezi kuona shidaUpuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????
Upuuzi kufufua shirika la ATCL?
Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Wakenya gani??? Mbona wanaiba kura ssa kma wakenya hawamtaki si waache uchaguzi huru na haki!!!! Kwa akili zako tu unahisi uhuru ana nguvu ya kupambana na mkongwe kma raila?? U cant be seriousodinga hawezi kupata urais, wakenya walishasema hawawezi kutawaliwa na govi!
Kwanini??? Unaishi kenya??? Utafiti umefanya lini??Raila Odinga anapoteza tu mda wake Uhuru Kenyatta atachukua nchi kwa kishindo cha speed 650/Kph
mkuu yaani unatia hasira kinyama ujue sema basi niliamua kuacha kucoment issue za pombeUpuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????
Upuuzi kufufua shirika la ATCL?
Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Pole mkuu...mkuu yaani unatia hasira kinyama ujue sema basi niliamua kuacha kucoment issue za pombe