Tetesi: Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko

Tetesi: Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko

Kuna tatizo gani Rais wa Wananchi akiwa mapumzikoni Tanzania.
 
Ataonekana pemba akinywa juice ya ukwaju na kacholi
 
Baba yake hakuupata uraisi sembuse yeye? Anatangatanga kama Hamadi sharif
 
Aisee sijawahi kuona watu waongo kama wa jamii forum au nyote ni wanasiasa? Wanasiasa ndio hawasemagi kweli
 
Mwanasiasa kaja kula bata Tanzania huku wafuasi wake masikini wakila mkong'ong'oto
 
Back
Top Bottom