kimyama nje
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 361
- 408
Rais ananiangusha anakimbia mini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa serikali ndio imemkaribisha?!Ni aibu kwa serikali kumkaribisha Odinga
Jamaa anatope kichwani!!Aibu unayo wewe na IQ yako
Mkuki kwa nguruweLisu alikuwa Kenya akiiponda Tanzania kutoka kule mkasifu kuwa hiyo demokrasia natamani Odinga avurumishe maneno kutoka Tanzania akiivurumishia Kenya .BBC nk waje wamhoji huku.Wakenya wasipige yowe kama ambavyo Tanzania hatukupiga yowe Lisu na chadema walipotumia ardhi ya Kenya kuiponda Tanzania
hahaha dah kweli mkuuSasa Rais kaja Tz wakati hajateua baraza la mawaziri?
Leo nasikia atakuwa kwenye Dhifa ya kitaifa kule Chattle!!raisi kaanza ziara mapema hivi
Hii ni kwa mujibu wa Dw Dunia yetu leo mchana, saa 7 hii.
Asije akafia huku maana inaelekea ana hofuLeo nasikia atakuwa kwenye Dhifa ya kitaifa kule Chattle!!