Tetesi: Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko

ni mapeeeema sana mh raisi hahahaa
 
Hii ni kwa mujibu wa Dw Dunia yetu leo mchana, saa 7 hii.


Maadamu analipia gharama za hoteli na kuchangia kwenye Uchumi wetu yote heri tu, lkn asilogwe kuanza ujinga wake wa kuitumia ardhi yetu kuleta machafuko nchini Kenya, nitamfurumisha!
 
akwende mbali zaid na Tz hatutaki nuksi zake bhana..amfuate kagame na kabila huko hope watamfaa
 
Hivi Passport yetu ya Tanzania alisharudisha huyo
Maaana kukimbilia hapa toka akiwa kijana mdogol ndio zake
 
Shame on him. Mungu tusaidie waafrika na kama tumekukosea tunaomba huruma yako. Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…