Tetesi: Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko

Lisu alikuwa Kenya akiiponda Tanzania kutoka kule mkasifu kuwa hiyo demokrasia natamani Odinga avurumishe maneno kutoka Tanzania akiivurumishia Kenya .BBC nk waje wamhoji huku.Wakenya wasipige yowe kama ambavyo Tanzania hatukupiga yowe Lisu na chadema walipotumia ardhi ya Kenya kuiponda Tanzania
 
Hapa anatarajia kupata hifadhi kutoka kwa rafiki wake wa karibu aka Mzee Baba ambae ndie New Dad in Town....
Sinto shangaa akiongoza Taifa la Kenya huku akiwa amefanya makazi kule Chato...
 
Ni aibu kwa serikali kumkaribisha Odinga
Umeambiwa serikali ndio imemkaribisha?!
una elimu gani mkuu, hujui kwamba hata ww unaweza kwenda kenya muda wowote ukitaka muhimu ufuate taratibu tu...sio lazima upate mualiko wa serikali!!.
 
Hahaha sasa baada ya kiapo ndio kawa rais au kaapishwa kuwa nani?!
Tanzania kaja kuuliza kwanini hatukuudhuria au ziara ya kwanza ya nje ya nchi?!
 
UWONGO
DW NI WAJINGA SANA
WANATAKA MAFARAKANO AFRIKA ILI WAO WAFAIDI DADEKI ZAO WALAANIWE MILELE!
 
Mkuki kwa nguruwe
 
Kwa tukio la juzi la huyu bwana nimeamini kila binadamu ni kichaa ila tu vinatulia kama volcano tuli, chake juzi kilitimka, anaonekana hivyo duniani kwa wale wafuatiliaji wa siasa za Afrika.
 
Hivi saa moja iliyopita, mbona ameoneka kwenye tv za Kenya akiongea na vyombo vya habari moja kwa moja, ama huko Kenya kuna sehemu inaitwa Tanzania. Au vyombo vya habari vya Kenya ndivyo vilikuja kuongea nae akiwa hapa nchini, na vyomba vya habari vya hapa Tanzania havikuruhusiwa. Ni aibu kwa chombo cha habari kikubwa Duniani kama DW, kutangaza habari za uongo.
 
Hivi kafanya kipi cha kumchosha mpaka anakuja kupumzika;
Wanasiasa bwana, Aseme tu yakuwa anawakwepa wale jamaa wasiojulikana wa huko.
 
Akili zake kama za mtoto mdogo, hapo anajiona yeye ni rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…