Tetesi: Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko

Nani wa kumuweka Raila ndani au watu mnaota humu ndani?. Raila anawafuasi sawa au zaidi ya uhuru ,lazima kujiuliza ukimuweka ndani wale wafuasi wake wakiamua kukinukisha nchi itakuwaje?
 
Nani wa kumuweka Raila ndani au watu mnaota humu ndani?. Raila anawafuasi sawa au zaidi ya uhuru ,lazima kujiuliza ukimuweka ndani wale wafuasi wake wakiamua kukinukisha nchi itakuwaje?
Huyu anastahili kunyongwa
 
Hii ni kwa mujibu wa Dw Dunia yetu leo mchana, saa 7 hii.
Kumuhifadhi hapa inaweza ikaleta uhasama kuwa nchi hii inakubaliana na kile alicho kifanya sasa tusubiri tuone kama kenya watatuma baruwa ya kuomba akabidhiwe kwenye serikali ya kenya maana walisaini mikataba ya kuwashugulikia wahalifu yani akikimbia nchi nyingine lazima akabidhiwe arudhishwe kule alikofanya uhaini au uhalifu tusubiri time will tell
 
Ila waafrika mashariki sote ni ndugu,haina ubaya ubaya kuja kwetu
 
Hayupo Chyatow kweli?
 
Mambo mengine yanafurahisha sana..

Wakati Marais wenzake wakiapishwa wanaenda Ikulu, ndugu yetu huyu anakimbilia Tz..
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raisi clone!!! Kipenz cha ccyemu
 
Sasa Rais kaja Tz wakati hajateua baraza la mawaziri?
Alikuwa na furaha kubwa ya kuapishwa na akajisahau badala ya kwenda Ikulu, yeye akanyoosha kwenda kwa mkewe. Huyu na Pogba wanadanganyana sana.
 
Sasa Rais alieapishwa badala ya kwenda Ikulu anakimbilia Tanzania tena?? Kufanya nini?? Isijekuwa amekwenda kule Zanzibar alikoonekana mara ya mwisho .............
 
Raila yupo Kenya leo ametembelea kumpa pole Kalonzo Musyoka akiwa na Co principle wengine na ameahidi kesho kutoa comprehensive statement as to way forward baada ya kuapishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…