kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
Kamsaliti migunamiguna maskini lohusaliti huo, odinga kakubali kuhongeka na kuwaaacha wenziwe matopeni? ikiwa hii habari ni ya kweli wanasiasa hawaaaminiki
Zaidi ya nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo (Siha na Kinondoni). Huko ndo tunakoelekea!
Umenena vyema sana , huyu mleta post ni mweupe au snichUnataka Magufuli aige kufukuza maadui zake wa Kisiasa Kama alivyofanya Kenyata Kwa Miguna miguna?
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.
Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.
Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.
Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.
Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.
View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.
Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.
Utaheshimikaje kwa mambo ya kijinga kijinga kama haya!Tafadhali tuheshimiane sana.
Wamakonde tunasema time will tell!Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.
Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.
Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.
Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.
P.
P.
Inapendeza...Siasa sio vita..Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.
View attachment 737150
Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.
Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.
Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.
Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.
View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.
Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.
Kinyume chake kwetu tuna mawaziri wakuu wastaafu ambao wanafilisiwa mashamba na mali zao.Wewe jamaa hauna akili kabisa, hivi unajua kwamba Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstaafu tena wa Waziri Mkuu wa coalition na siyo wa kuteuliwa kama hapa kwetu? hivyo kupewa gari na ulinzi ni kawaida!
Kinyume chake kwetu tuna mawaziri wakuu wastaafu ambao wanafilisiwa mashamba na mali zao.
Nimelinganisha marais sijalinganisha vyama.Unalinganishaje mazingira ya Kenua na Tanzania kwa mukhtadha huo..hivi umeehuka au umerukwa na akili...unauliza demokrasia mbona huendi uliza ndani ya chama chenu kwanza!! chagadema..umeridhika kabisaaa na mambo yanavyoenda kule....Kweli nyani haoni kundule..
Acha kuongea shombo dogo, hujui chochote!Magufuli alimteuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro kuwa rc ambae ni mpinzani wake kisiasa
Magufuli akamteuwa naibu waziri wa maji ambae alikuwa mpinzani wake kisiasa
Sasa nyie UFIPA republic mnataka democrasia ya aina gani?
Au mlitaka Magufuli amteuwe Lowasa makamu wa rais?
Una uhakika gani na hili kamanda..be careful kwa sababu kama aliambiwa asiandamane akalazimisha aandamane eti demokrasia unajuaje kama alisababisha tukio ili lawama ziende kwa serikali..ni kwa sababu hamuwajui haoAcha uongo mchana kweupe. Mbowe hahusiki na kifo cha Akwilina, hata mambosas na ziro wanafahamu hill.
Utalinganishaje vitu viwili visivyofanana....sielewi ulikua unamaanisha niniNimelinganisha marais sijalinganisha vyama.
Wakati mnamnyang'anya Sumaye mashamba yake kwa chuki za kisasa hakuwa waziri mkuu mstaafu.Ni Mawaziri Wakuu wepi hao waliofilisiwa mashamba? Isitoshe nijuavyo mimi Mawaziri wakuu wastaafu wote wanalipwa na Serikali yetu zaidi ya 80% ya Mshahara, nyumba, gari, Matibabu na wanalindwa na Usalama wetu wa Taifa, na hii huduma yote inatolewa na Serikali yetu!
Wakati mnamnyang'anya Sumaye mashamba yake kwa chuki za kisasa hakuwa waziri mkuu mstaafu.
Unamfahamu Tundu Antipas Lissu?Kwani Raisi Magufuli ana muhasimu yoyote? Isitoshe ulinganisho huu wa Uhuru Kenya na Raila Odinga una uhusiano gani na Raisi wetu?
Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusiana nini na TZ yetu?
Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?