Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

Zaidi ya nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo (Siha na Kinondoni). Huko ndo tunakoelekea!

Lakini hatujafikia huko, hivyo hakuna sababu ya kulinganisha na Kenya, ambapo zaidi ya nusu nzima wa Wananchi hawakumtambua Raisi Uhuru Kenya kama Raisi wao, isitoshe zaidi ya watu 300 walifariki!
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.

Wewe jamaa hauna akili kabisa, hivi unajua kwamba Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstaafu tena wa Waziri Mkuu wa coalition na siyo wa kuteuliwa kama hapa kwetu? hivyo kupewa gari na ulinzi ni kawaida!
 
Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.

Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.

Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.

Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.

P.

P.
Wamakonde tunasema time will tell!
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

View attachment 737150

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.
Inapendeza...Siasa sio vita..
 
Demokrasia ya Kenyatta kwa Odinga tu? Mbona huseme kwa Miguna Miguna?
 
Magufuli alimteuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro kuwa rc ambae ni mpinzani wake kisiasa

Magufuli akamteuwa naibu waziri wa maji ambae alikuwa mpinzani wake kisiasa

Sasa nyie UFIPA republic mnataka democrasia ya aina gani?

Au mlitaka Magufuli amteuwe Lowasa makamu wa rais?
 
Wewe jamaa hauna akili kabisa, hivi unajua kwamba Raila Odinga ni Waziri Mkuu mstaafu tena wa Waziri Mkuu wa coalition na siyo wa kuteuliwa kama hapa kwetu? hivyo kupewa gari na ulinzi ni kawaida!
Kinyume chake kwetu tuna mawaziri wakuu wastaafu ambao wanafilisiwa mashamba na mali zao.
 
Kinyume chake kwetu tuna mawaziri wakuu wastaafu ambao wanafilisiwa mashamba na mali zao.

Ni Mawaziri Wakuu wepi hao waliofilisiwa mashamba? Isitoshe nijuavyo mimi Mawaziri wakuu wastaafu wote wanalipwa na Serikali yetu zaidi ya 80% ya Mshahara, nyumba, gari, Matibabu na wanalindwa na Usalama wetu wa Taifa, na hii huduma yote inatolewa na Serikali yetu!
 
Unalinganishaje mazingira ya Kenua na Tanzania kwa mukhtadha huo..hivi umeehuka au umerukwa na akili...unauliza demokrasia mbona huendi uliza ndani ya chama chenu kwanza!! chagadema..umeridhika kabisaaa na mambo yanavyoenda kule....Kweli nyani haoni kundule..
Nimelinganisha marais sijalinganisha vyama.
 
Magufuli alimteuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro kuwa rc ambae ni mpinzani wake kisiasa

Magufuli akamteuwa naibu waziri wa maji ambae alikuwa mpinzani wake kisiasa

Sasa nyie UFIPA republic mnataka democrasia ya aina gani?

Au mlitaka Magufuli amteuwe Lowasa makamu wa rais?
Acha kuongea shombo dogo, hujui chochote!
 
Acha uongo mchana kweupe. Mbowe hahusiki na kifo cha Akwilina, hata mambosas na ziro wanafahamu hill.
Una uhakika gani na hili kamanda..be careful kwa sababu kama aliambiwa asiandamane akalazimisha aandamane eti demokrasia unajuaje kama alisababisha tukio ili lawama ziende kwa serikali..ni kwa sababu hamuwajui hao
 
Ni Mawaziri Wakuu wepi hao waliofilisiwa mashamba? Isitoshe nijuavyo mimi Mawaziri wakuu wastaafu wote wanalipwa na Serikali yetu zaidi ya 80% ya Mshahara, nyumba, gari, Matibabu na wanalindwa na Usalama wetu wa Taifa, na hii huduma yote inatolewa na Serikali yetu!
Wakati mnamnyang'anya Sumaye mashamba yake kwa chuki za kisasa hakuwa waziri mkuu mstaafu.
 
Wakati mnamnyang'anya Sumaye mashamba yake kwa chuki za kisasa hakuwa waziri mkuu mstaafu.

Wewe Sumaye unamjua zaidi kuliko Serikali yetu wanavyomjua? Mbona Fisadi Lowasa hajanyang'anywa ranchi yetu aliojimegea? Isitoshe kwa nini Sumaye hakwenda Mahakamani kushitaki ili alipwe fidia kama ni kweli alionewa?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kwani Raisi Magufuli ana muhasimu yoyote? Isitoshe ulinganisho huu wa Uhuru Kenya na Raila Odinga una uhusiano gani na Raisi wetu?

Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusiana nini na TZ yetu?

Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?
Unamfahamu Tundu Antipas Lissu?
 
Back
Top Bottom