Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

Amsaidie nani?? Mbowe, lowassa au Lissu?? Lissu na Mbowe hawastahili kusaidiwa.
 
Sasa kumchukua Anna, Kitila, Wilbrod na Augustine nayo ni makamasi?
 
Wewe Sumaye unamjua zaidi kuliko Serikali yetu wanavyomjua? Mbona Fisadi Lowasa hajanyang'anywa ranchi yetu aliojimegea? Isitoshe kwa nini Sumaye hakwenda Mahakamani kushitaki ili alipwe fidia kama ni kweli alionewa?
Angeenda mahakamani zipi hizi hizi zinazoendeshwa kwa rimoti toka ikulu.
 
In other words, Odinga is being banished to the 'foreign land', so that Uhuru can manouvre all the household activities as he wants!
 
Kurudi ccm
 
Zanzibar ilikuaje?
Usiwe mwepesi, utapigwa za chembe. Unawaza kwenye straight line kwa kutumia majibu uliyopewa na Chajubanga.
 
wanafanya vurugu na upotevu wa fedha katika siasa za uchaguzi mwisho wa siku mnapeana madeal...huo ni usaliti kwa Raia ambao wengine walipoteza maisha.

Unataka Mbowe asamehewe kwa kuitisha maandamano yaliyopelekea kifo cha Akwilina?
Badili jina.....the name is haunting you.
 
Hiyo ndiyo tofauti ya busara kati ya Uhuru na Magufuli tunayoizungumza.
Kwa Unafiki wenu hamtasema ANAWANUNUA WAPINZANI??
Hapa HASAIDIWI mtu, lowassa haitaji msaada! Mbowe na Lissu na wengine (snitches) hawatakiwi kusaidiwa.
Umewahi msikia Odinga akisnitch kenya??
 
Tunashukuru kwa kumsemea au ni speculation?
 
Hiyo siyo demokrasia kama ujuavyo wewe, hiyo ni rushwa na usaliti, anyways yote kwa yete haikua na haja ya kumtaja dr magu, kwani yeye hana maadui na kwa demokrasia na uongozi huwezi kumfananisha na raisi yoyote afrika.
 
Kwa Unafiki wenu hamtasema ANAWANUNUA WAPINZANI??
Hapa HASAIDIWI mtu, lowassa haitaji msaada! Mbowe na Lissu na wengine (snitches) hawatakiwi kusaidiwa.
Umewahi msikia Odinga akisnitch kenya??
Kwa mawazo haya tutaendelea kujenga ukuta nchi nzima tukidhani rushwa itamalizwa kwa kuzungusha ukuta.
 
Siasa si uadui na uhasama.Siasa ni haiba na utashi katika kuitumikia nchi.Hoja hujibiwa kwa hoja.Kushindwa kwenye uchaguzi si mwisho wa kufanya siasa
 
JPM kwenye uchaguzi uliomwingiza madarakani alitangazwa kupata kura milioni 8 dhidi ya milioni 6 za Lowasa. Na hizi ni kura kwa kadiri ya tangazo la NEC lakini si kura walizopigiwa.

Kwa yale yanayofahamika kwa uhakika, kura alizozipata JPM ni kidogo zaidi ya yalizotangazwa. Na kura alizopata EL ni nyingi kuliko zilizotangazwa.

Zingetangazwa kura halisia, au JPM asingekuwa Rais au kungekuwa na tofauti ndogo sana ya kura kati ya hao wawili.

Ukweli huo ndio ulimfanya JPM kufuta mikutano ya CDM, anajua kabisa kuwa wengi hawakumtaka. Alitarajia kuwa wakati kukiwa kumedhibitiwa kelele dhidi yake, angepata muda wa kutenda yale ambayo yangewavuta hata wale ambao hawakumpa kura. Bahati mbaya hilo halikutokea, ndipo ilipotengenezwa mbinu ya kuwanunua na kuwatisha wapinzani. Yote hayajaonekana kumsaidia kuungwa mkono kwa kiasi aluchotarajia.

Kwa sasa machaguo ni machache sana kwake. Au kuwaweka karibu wapinzani wake ili wasiendelee kumsema vibaya na aonekane ni muungwana au kuamua kuwa jiwe azidi kuchukiwa na watu wengi zaidi kila siku itakayopita. Huo utakuwa ni uamuzi mgumu sana kwake japo kwa sasa ndio anaoufuata.

JPM kama hataweza kufanya mabadiliko katika fikra zake juu ya jinsi ya kufanya kazi na wapinzani wake, ataifikia 2020 akiwa hoi bin taabani na bila ya kufanikisha mipango na matarajio yake mengi.

JPM anahitaji sasa washauri wazuri zaidi kuliko wakati wowote kama anataka kuubadilidha upepo unaomfanya aonekane ni kiongozi mbaya kwa kadiri ya maoni ya wengi. Itabidi aondokane kabisa na ajitenge na ushauri wa akina Bashite, Mwigulu, Polepole, n.k. Anatakiwa awapate washauri wenye akili, upeo, uzoefu, walio wakweli na wasio na roho za kinafiki na kupenda kujipendekeza kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…