Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kumchukua Anna, Kitila, Wilbrod na Augustine nayo ni makamasi?Eeehh kupeana magari na vyeo kwa mpinzani wako ni demokrasia ?
Hivi nyie vijana wa Chadema vichwa vyenu vimejaa makamasi tupu nn ?
Kwa hiyo mfano Mh. Rais wetu akitoa vyeo, magari na ulinzi kwa viongozi 2 au 3 wa upinzani ndio Demokrasia ? Pumbaf wee, kasome vizuri hujui kitu.. Pumbaf tena na tena na tena na tenaaaa pumbaf
Angeenda mahakamani zipi hizi hizi zinazoendeshwa kwa rimoti toka ikulu.Wewe Sumaye unamjua zaidi kuliko Serikali yetu wanavyomjua? Mbona Fisadi Lowasa hajanyang'anywa ranchi yetu aliojimegea? Isitoshe kwa nini Sumaye hakwenda Mahakamani kushitaki ili alipwe fidia kama ni kweli alionewa?
Angeenda mahakamani zipi hizi hizi zinazoendeshwa kwa rimoti toka ikulu.
Hiyo ndiyo tofauti ya busara kati ya Uhuru na Magufuli tunayoizungumza.Amsaidie nani?? Mbowe, lowassa au Lissu?? Lissu na Mbowe hawastahili kusaidiwa.
Kurudi ccmWenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.
Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.
Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.
Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.
P.
P.
Zanzibar ilikuaje?Kwani Raisi Magufuli ana muhasimu yoyote? Isitoshe ulinganisho huu wa Uhuru Kenya na Raila Odinga una uhusiano gani na Raisi wetu?
Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusiana nini na TZ yetu?
Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?
Badili jina.....the name is haunting you.wanafanya vurugu na upotevu wa fedha katika siasa za uchaguzi mwisho wa siku mnapeana madeal...huo ni usaliti kwa Raia ambao wengine walipoteza maisha.
Unataka Mbowe asamehewe kwa kuitisha maandamano yaliyopelekea kifo cha Akwilina?
Kwa Unafiki wenu hamtasema ANAWANUNUA WAPINZANI??Hiyo ndiyo tofauti ya busara kati ya Uhuru na Magufuli tunayoizungumza.
Tunashukuru kwa kumsemea au ni speculation?Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.
Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.
Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.
Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.
P.
P.
Mkuu, wanataka Mbowe na Lissu wapewe Renge Rover New model na Magufuli.Sasa kumchukua Anna, Kitila, Wilbrod na Augustine nayo ni makamasi?
Kwa mawazo haya tutaendelea kujenga ukuta nchi nzima tukidhani rushwa itamalizwa kwa kuzungusha ukuta.Kwa Unafiki wenu hamtasema ANAWANUNUA WAPINZANI??
Hapa HASAIDIWI mtu, lowassa haitaji msaada! Mbowe na Lissu na wengine (snitches) hawatakiwi kusaidiwa.
Umewahi msikia Odinga akisnitch kenya??
Lakini point ni kwamba lissu na mbowe ni wapinzani, sio wadhambi au maadui. Nao wanataka nchi yao ineemeke ila kwa njia tofauti na sasaMkuu, wanataka Mbowe na Lissu wapewe Renge Rover New model na Magufuli.
Hata mlima Kilimanjaro, tunaweka ukuta.Kwa mawazo haya tutaendelea kujenga ukuta nchi nzima tukidhani rushwa itamalizwa kwa kuzungusha ukuta.
No simsemei, nimesema naamini soon!.Tunashukuru kwa kumsemea au ni speculation?