rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
hivi kuitwa tu mke wa raimundo ndio mipovu inamtoka hivi au ulimuibia mume? dogo hebu kuwa mkweli?
Ya duniani mengi Dada... naona umerudi kwa mbea mwenzio Nokia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kuitwa tu mke wa raimundo ndio mipovu inamtoka hivi au ulimuibia mume? dogo hebu kuwa mkweli?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wewe hebu usiniue mbavuYa duniani mengi Dada... naona umerudi kwa mbea mwenzio Nokia
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Amebadili tabia sikuhizi.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wewe hebu usiniue mbavu
imebidi nimchungulie nisije nikakosea kumcc nimeona anatamba hapa anatoa kiki sijui nilikuepo naaga yani full michanganyo
cc Nokia83
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aamke na wapambe wake sasa waje kushusha mapovu, mi nicheke huku[emoji13] [emoji13] [emoji13] Amebadili tabia sikuhizi.
Rubiikimimi[emoji85]
Raimundo alikuwa mchizi wangu sana.Mimi nilishangaa mpk watu wa karibu sana walimponda mshikaji
Mpe hii mzee wa Assist kupitia E-mail Address.Raimundo alikuwa mchizi wangu sana.
Tumebadilishana vitu vingi sana via e-mail Addresses. Kiufupi ni bonge la mwana yani; Sasa narudi simuoni kabisa naona watu wanamponda sana mara utapeli, sijui assist. Yaani leo nimeona uzi watu tuliokuwa naye karibu wanamponda vibaya sanaa! Its not fair kabisaaa kuchafuana..........
Whatever happened to him ngoja nimcheki kwenye e-mail yake najua ntampata huko......but its sad kusikia watu wanamponda vibaya Ray.
Mpe hii mzee wa Assist kupitia E-mail Address.
Kipindi tunamtumbua kwa utapeli wake nusura amlize dada yangu emmyta 20000/= uzuri ilikuwa jioni aliyetumwa kwa wakala akaitume hiyo hela alikuta wakala kaishia salio ndio ikawa nusura.
Baada ya huyo aliyetumwa kurejea nyumbani mara paap RRONDO akabandika bandiko la malalamiko juu ya kutapeliwa na member wa JF ambapo hakutaka kumtaja kwa muda huo.
Lakini watu walikakamaa hadi wakapelekea akatajwa na watu wakajitokeza kadhaa walioombwa Assist PM kwa muda mfupi uliopita kabla RRONDO alikuwa bado hajaanzisha uzi.
Those eyes Brenda![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aamke na wapambe wake sasa waje kushusha mapovu, mi nicheke huku
Ndio.RRONDO ndiyo alitapeliwa na Raimundo ???
Yani aliazima hela au alikuwa anaauza kitu ??? Hapa ndipo mnaniacha!
Sasa kusema kwamba aliwarubuni wadada kimapenzi inatoka wapi ???
NB: Halafu kwanini mnaingilia mambo ambayo watu wawili ndiyo walikubaliana ???
Mna uhakika kwamba alikuwa na nia ya kutapeli hizo pesa???
Leo hapa kuna uzi umeanzishwa wa jamaa kurudishiwa pesa na mtu aliyemuita hapa ni tapeli.
Tujifunze kuweka akiba ya maneno, hasa tukiwa watoto wa kiume.
Mpe hii mzee wa Assist kupitia E-mail Address.
Kipindi tunamtumbua kwa utapeli wake nusura amlize dada yangu emmyta 20000/= uzuri ilikuwa jioni aliyetumwa kwa wakala akaitume hiyo hela alikuta wakala kaishia salio ndio ikawa nusura.
Baada ya huyo aliyetumwa kurejea nyumbani mara paap RRONDO akabandika bandiko la malalamiko juu ya kutapeliwa na member wa JF ambapo hakutaka kumtaja kwa muda huo.
Lakini watu walikakamaa hadi wakapelekea akatajwa na watu wakajitokeza kadhaa walioombwa Assist PM kwa muda mfupi uliopita kabla RRONDO alikuwa bado hajaanzisha uzi.
Mkuu huo mkasa hukuuona?Dah!
Ndio.
Raimundo alikuwa anawatapeli kweli.
RRONDO ni miongoni mwao, alimkopesha kwenye kumlipa akawa anakataa hado RRONDO akaamua kuja kusema hapa kama tahadhari kwa wengine, uzuri ikaja kubainika ndio ulikuwa mchezo wa jamaa.
Haiwezekani mtu uombe kukopeshwa TSh Elfu 20/30 halafu ukizipata unakata mawssiliano na aliyekukopesha kisa hakujui.
Na huo mtindo wa kuomba kukopeshwa aliokuwa anautumia Raimundo ulidhihirisha kabisa utapeli wake.
Kwa nini mtu aombe kukopeshwa kiasi kidogo kama elfu 20/30 halafu anatuma PM inayofanana kwa watu kadhaa kwa muda ule ule.
Wakati RRONDO analeta uzi kuna watu kama 5 walikuwa wametumiwa PM za kuombwa wamkopeshe kiasi hicho hicho, unafikiri alikuwa na nia gani kutuma PM kwa watu tofauti? na shida gani hasa hadi uombe kukopeshwa kiasi kidogo cha pesa kwa watu wengi kiasi hicho.
Ungekuwepo kipindi hicho ungejionea mwenyewe, jamaa alikiri kabisa kufanya hicho kitendo lakini wakati tunamuhoji alileta dharau na kejeli kibao.
Siwezi kukushawishi sana kuamini kilichotokea sio vibaya tu kukuelezea jinsi hali ilivyokuwa na kwa sasa tushaanza kusahau huo mkasa maana wengi waliokolewa sana miongoni ni dada yangu emmyta kama nilivyokueleza kwenye post iliyopita
Mkuu.Yote tisa lakini haya mambo mngejtahidi kuyamaliza kiutu uzima.
Moto huwa hauzimwi kwa nyasi kavu na mabua; Mlianza kudaiana lakini watu wamefika hadi kuvunjiana heshima hapa.
Siku nyingine hata kama unajua Ukweli wa kitu "Kunyama kimya nako ni Busara"
Halafu jamaa alikuwa mjanja sana, alijenga urafiki na mazoea makubwa kwa watu, kwenye hicho kivuli cha kuzoeana ndio ikawa fursa kwake.Niliuona Mkuu na huyu jamaa nilikuwa namuona ni mtu mmoja mstaarabu sana ila hizi details nilikuwa sizijui. Almanusra emmyta naye angelizwa.
Watu mnajua kufukua makaburi[emoji28]Those eyes Brenda!
Mkuu.
Angekuwa ni mtu mwenye kufikiria angemalizana na RRONDO kimya kimya kabla hata hajaleta uzi kisingeharibika kitu na angeendelea kuwaliza wengine kimya kimya maana wengi walikuwa wanaishia kusamehe au kuumia kimya kimya kwa sababu hawezi kufanya au kuchukua hatua yoyote maana aliyempa hamjui na hajui alipo.( hapa sterling alijichanganya[emoji2] [emoji2] )
Msalimie sana aisee[emoji23]
Watu mnajua kufukua makaburi[emoji28]