Raimundo popote pale ulipo

Ya duniani mengi Dada... naona umerudi kwa mbea mwenzio Nokia
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wewe hebu usiniue mbavu
imebidi nimchungulie nisije nikakosea kumcc nimeona anatamba hapa anatoa kiki sijui nilikuepo naaga yani full michanganyo
cc Nokia83
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wewe hebu usiniue mbavu
imebidi nimchungulie nisije nikakosea kumcc nimeona anatamba hapa anatoa kiki sijui nilikuepo naaga yani full michanganyo
cc Nokia83
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Amebadili tabia sikuhizi.

Rubiikimimi[emoji85]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Amebadili tabia sikuhizi.

Rubiikimimi[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aamke na wapambe wake sasa waje kushusha mapovu, mi nicheke huku
 
Mimi nilishangaa mpk watu wa karibu sana walimponda mshikaji
Raimundo alikuwa mchizi wangu sana.
Tumebadilishana vitu vingi sana via e-mail Addresses. Kiufupi ni bonge la mwana yani; Sasa narudi simuoni kabisa naona watu wanamponda sana mara utapeli, sijui assist. Yaani leo nimeona uzi watu tuliokuwa naye karibu wanamponda vibaya sanaa! Its not fair kabisaaa kuchafuana..........

Whatever happened to him ngoja nimcheki kwenye e-mail yake najua ntampata huko......but its sad kusikia watu wanamponda vibaya Ray.
 
Mpe hii mzee wa Assist kupitia E-mail Address.
Kipindi tunamtumbua kwa utapeli wake nusura amlize dada yangu emmyta 20000/= uzuri ilikuwa jioni aliyetumwa kwa wakala akaitume hiyo hela alikuta wakala kaishia salio ndio ikawa nusura.
Baada ya huyo aliyetumwa kurejea nyumbani mara paap RRONDO akabandika bandiko la malalamiko juu ya kutapeliwa na member wa JF ambapo hakutaka kumtaja kwa muda huo.
Lakini watu walikakamaa hadi wakapelekea akatajwa na watu wakajitokeza kadhaa walioombwa Assist PM kwa muda mfupi uliopita kabla RRONDO alikuwa bado hajaanzisha uzi.
 

RRONDO ndiyo alitapeliwa na Raimundo ???
Yani aliazima hela au alikuwa anaauza kitu ??? Hapa ndipo mnaniacha!
Sasa kusema kwamba aliwarubuni wadada kimapenzi inatoka wapi ???

NB: Halafu kwanini mnaingilia mambo ambayo watu wawili ndiyo walikubaliana ???
Mna uhakika kwamba alikuwa na nia ya kutapeli hizo pesa???
Leo hapa kuna uzi umeanzishwa wa jamaa kurudishiwa pesa na mtu aliyemuita hapa ni tapeli.
Tujifunze kuweka akiba ya maneno, hasa tukiwa watoto wa kiume.
 
Ndio.
Raimundo alikuwa anawatapeli kweli.
RRONDO ni miongoni mwao, alimkopesha kwenye kumlipa akawa anakataa hado RRONDO akaamua kuja kusema hapa kama tahadhari kwa wengine, uzuri ikaja kubainika ndio ulikuwa mchezo wa jamaa.

Haiwezekani mtu uombe kukopeshwa TSh Elfu 20/30 halafu ukizipata unakata mawssiliano na aliyekukopesha kisa hakujui.

Na huo mtindo wa kuomba kukopeshwa aliokuwa anautumia Raimundo ulidhihirisha kabisa utapeli wake.

Kwa nini mtu aombe kukopeshwa kiasi kidogo kama elfu 20/30 halafu anatuma PM inayofanana kwa watu kadhaa kwa muda ule ule.
Wakati RRONDO analeta uzi kuna watu kama 5 walikuwa wametumiwa PM za kuombwa wamkopeshe kiasi hicho hicho, unafikiri alikuwa na nia gani kutuma PM kwa watu tofauti? na shida gani hasa hadi uombe kukopeshwa kiasi kidogo cha pesa kwa watu wengi kiasi hicho.

Ungekuwepo kipindi hicho ungejionea mwenyewe, jamaa alikiri kabisa kufanya hicho kitendo lakini wakati tunamuhoji alileta dharau na kejeli kibao.

Siwezi kukushawishi sana kuamini kilichotokea sio vibaya tu kukuelezea jinsi hali ilivyokuwa na kwa sasa tushaanza kusahau huo mkasa maana wengi waliokolewa sana miongoni ni dada yangu emmyta kama nilivyokueleza kwenye post iliyopita
 
Dah!

 

Yote tisa lakini haya mambo mngejtahidi kuyamaliza kiutu uzima.
Moto huwa hauzimwi kwa nyasi kavu na mabua; Mlianza kudaiana lakini watu wamefika hadi kuvunjiana heshima hapa.
Siku nyingine hata kama unajua Ukweli wa kitu "Kunyama kimya nako ni Busara"
 
Mkuu.
RRONDO alitoa tahadhari kupitia uzi wake lakini hakujua kama jamaa alikuwa na tabia hiyo kwa wengine. Lakini baada ya watu kusoma na kuunganisha DOTS wakagundua anayetajwa huenda ni mtu fulani kitendo ambacho kiliwapa watu attention ya kudadisi juu ya kilichosemwa, hatimaye akagudulika na akathibitishwa na miongoni mwa watu hao aliowahi kuwasiliana nao juu ya Assist.

Watu wakataka aje aeleze ama kukiri au kukataa, alikuja na akakiri baada ya hapo watu walikuwa radhi kutaka kuona jamaa aombe msamaha ili yaishe lakini jamaa akawa anakejeli na kuleta dharau bila kuomba msamaha kitendo ambacho sio kizuri kwa mtu mzima mwenye akili timamu.

Sasa hapo aliyekuwa na tatizo na ambaye hakutaka liishe kiuungwana alikuwa nani?
Watu walikuwa waungwana sana ndio maana walimuamini na kuweza kumpa/kumtimizia shida yake japo walikuwa hawajuani isipokuwa kuzoeana tu hapa JF kwa hizi ID zetu fake, kumbe mwenzetu alibuni njia ya kujipatia chochote kwa urahisi kabisa.

Angekuwa ni mtu mwenye kufikiria angemalizana na RRONDO kimya kimya kabla hata hajaleta uzi kisingeharibika kitu na angeendelea kuwaliza wengine kimya kimya maana wengi walikuwa wanaishia kusamehe au kuumia kimya kimya kwa sababu hawezi kufanya au kuchukua hatua yoyote maana aliyempa hamjui na hajui alipo.( hapa sterling alijichanganya[emoji2] [emoji2] )

Msalimie sana aisee[emoji23]
 
Niliuona Mkuu na huyu jamaa nilikuwa namuona ni mtu mmoja mstaarabu sana ila hizi details nilikuwa sizijui. Almanusra emmyta naye angelizwa.
Halafu jamaa alikuwa mjanja sana, alijenga urafiki na mazoea makubwa kwa watu, kwenye hicho kivuli cha kuzoeana ndio ikawa fursa kwake.

 

Kujibu kwa kejeli tu haitoshelezi kusema kwamba mtu huyu ni tapeli au alikuwa na nia ya kutapeli. Watu wengi kwenye kudaiwa huwa tunakuwaga wagumu kulipa lakini haimaanishi kwamba tunakuwa na nia ya kutapeli. (Intention to obtain goods by deceit)

Hata kama angekopa JF nzima bado asingekuwa tapeli kwasababu kitendo cha kukopa siyo utapeli; Bali kurubuni watu kwa njia ya kukopa ukiwa na nia ya kutotaka kurudisha ndiyo Utapeli wenyewe. Kisheria mtu akishindwa kulipa deni huwa anashitakiwa kosa la madai (Civil Proceeding) na siyo jinai.

NB: Hapa kisheria tunapima nia ya mtu au "Intention" au kilatini "Mens rea" na siyo blah blah hizi! Mkithibitisha kwamba alikuwa na nia ya kutaka kutapeli ndiyo mtakuwa na haki ya kumwita tapeli, lakini siyo hizi hisia zenu.
 
Malcom Lumumba hii kesi ilishafungwa na muhusika JF mods walimhukumu baada ya kujiridhisha alichotuhumiwa kakifanya kweli. Nimekusoma muda mrefu, nimekuwa mentioned lakini sikutaka kusema chochote.
Wapo rafiki zake wengine walikuja kama wewe na kashfa nyingi lakini mwisho wa siku waliumbuka sasa hivi wamebaki kutumia ID nyingine kuendeleza ujinga.
Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi. Hatutaki kufukua hili kaburi hata alieanzisha hii thread alikuwa ana target watu fulani na kawapata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…