Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

Hahahahahhaaaaa unafikiri hata hao nao si waliambiana wasitangazane ila mwisho wa siku wote tumejua😀😀😀😀
Hamna bhana wengine tulitahiriwa bila ganzi na hata chozi halikutoka sasa nitashindwaje kutunza siri.
Hawa wanaowavua wenzao nguo wametahiriwa mahospitalli na wengine ni magovi kabisa.
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaa umejua kunichekesha asubuhi hii hahahhahahaahahahaa.........eti wengine ni magovi kabisa uwiiiiiiiii my ribs
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana huwa sipendi kuingilia yasiyonihusu, dada hizo screenshot ulizonazo unatamani sana kuzirusha, anzisha thread utupie hizo mambo kurahisisha maisha, shusha huo mzigo

kuna kitu najifunza jf kama ambavyo unajitahidi kujua mambo ya watu, wapo watu pia wanayajua yako pia, inawezekana wasiyaongelee jukwaani kama hivi ila wanayajua, mnawekeana vinyongo na kubeba watu hata hawawaongezei kitu maishani for what?

cc: sumbai hongera
UMEALIKWA?
Kwa kifupi HAYAKUHUSU.

Hivi wewe na mwenzako si ndiyo kuna siku mlikuwa mnachamba MAITI?

Nyie baada ya msiba wa IBRA87 si mliweka kikao mkamchamba kisa aliwasemaga ? Msivyo na haya.

Kinakuuma nini Mimi kupambana na rubii aliye hai??

Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Sijaona cha kukushangaza Mimi nadeal na mtu aliye hai singoji afe ndiyo nije nimwage povu kama kuku mwenye KIFAFA.

Ha ha ha ha mnayajua yangu?? TANGAZENI na pia pole sana.
Mimi jf nipo kivyangu na sijuani na YOYOTE Upoo? Msisahau kuja na evidence.
Kwanza mambo yenyew yameshapita sijui umetokea wapi kama jipu la mata.koni.

Sikushangai siku zote unaingiliaga sherehe ambazo haujaalikwa.
Unaishia kutukanwa tuu.

sumbai anahusika nini? Kwa kifupi umepanic... Relux
Sibishanagi na machizi Mimi .
Jinafasi.
Leo jumatatu siku ya kazi kunya ukimaliza zoa..
Nyoooooo!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ww ulivyoanza kuniquote haukuwa umbea?...au uliposema una taarifa watu watakuja kusema issue za watu humu ilikuwa ni nn?

Watu walishaongea yakaisha sasa ww umeibuka ghafla unaanza kupambana.
Huyo hana akili timamu.
Ulishaona mtu anachamba MAITI ? Yaani amekaa na mipovu yake anangoja mtu AFE kwenye huzuni watu wanahuzunika yeye ndiyo kwanza anaanza kusuta?

Kinamuuma nini rubii kusemwa? Kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Hajui hata mambo yalishaisha amekurupuka huko kama mzuka wa kabila lao kuja kuvaa watu huku.

Kwa busara gani alizo Nazo? Kuchamba MAITI??
Hata usipoteze muda kubishana na chizi.

Mimi nlishaelewa kaja kutafuta kiki nkaachana nae...mara naondoka wiki sitokuwepo lkn unaona yupo tu.
 
UMEALIKWA?
Kwa kifupi HAYAKUHUSU.

Hivi wewe na mwenzako si ndiyo kuna siku mlikuwa mnachamba MAITI?

Nyie baada ya msiba wa IBRA87 si mliweka kikao mkamchamba kisa aliwasemaga ? Msivyo na haya.

Kinakuuma nini Mimi kupambana na rubii aliye hai??

Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Sijaona cha kukushangaza Mimi nadeal na mtu aliye hai singoji afe ndiyo nije nimwage povu kama kuku mwenye KIFAFA.

Ha ha ha ha mnayajua yangu?? TANGAZENI na pia pole sana.
Mimi jf nipo kivyangu na sijuani na YOYOTE Upoo? Msisahau kuja na evidence.
Kwanza mambo yenyew yameshapita sijui umetokea wapi kama jipu la mata.koni.

Sikushangai siku zote unaingiliaga sherehe ambazo haujaalikwa.
Unaishia kutukanwa tuu.

sumbai anahusika nini? Kwa kifupi umepanic... Relux
Sibishanagi na machizi Mimi .
Jinafasi.
Leo jumatatu siku ya kazi kunya ukimaliza zoa..
Nyoooooo!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora usingemjibu. Siyo vizuri kuendelea kufukua haya mambo. Ona sasa mada inaanza tena.
 
Jaman Raimundo popote ulipo njoooo
Pamoja na yote bt jamaa yuko vizuri kichwani ana akil sana ,busara na ana akili sana kichwani....mpaka maswaibu yanamkuta alikua ananishauri vuzur sana sasa jamaa umekimbia jumla jmn lileswala limenielemea huku
Najua unapita huku kimya kimya njoo umalizie darasa lako bwana
Yaliyotokea niyakibinadam tu,, mbona yule mama alokamatwa uchawi kaaibika tz nzima lkn anadunda tu
Ww jf tu jmn....mic u rafiki angu njoo
AMETOKEWA NA NINI AU NI YALE MAMBO YA UPIGAJI?
 
UMEALIKWA?
Kwa kifupi HAYAKUHUSU.

Hivi wewe na mwenzako si ndiyo kuna siku mlikuwa mnachamba MAITI?

Nyie baada ya msiba wa IBRA87 si mliweka kikao mkamchamba kisa aliwasemaga ? Msivyo na haya.

Kinakuuma nini Mimi kupambana na rubii aliye hai??

Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Sijaona cha kukushangaza Mimi nadeal na mtu aliye hai singoji afe ndiyo nije nimwage povu kama kuku mwenye KIFAFA.

Ha ha ha ha mnayajua yangu?? TANGAZENI na pia pole sana.
Mimi jf nipo kivyangu na sijuani na YOYOTE Upoo? Msisahau kuja na evidence.
Kwanza mambo yenyew yameshapita sijui umetokea wapi kama jipu la mata.koni.

Sikushangai siku zote unaingiliaga sherehe ambazo haujaalikwa.
Unaishia kutukanwa tuu.

sumbai anahusika nini? Kwa kifupi umepanic... Relux
Sibishanagi na machizi Mimi .
Jinafasi.
Leo jumatatu siku ya kazi kunya ukimaliza zoa..
Nyoooooo!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Is Ibra dead?

love thé love or hâte thé love.....
 
Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??

Ilikua lini hiyo cute b??
Maana sikuwahi kukufahamu kama unahusika nae mpaka Daby alipokuja kuanzisha thread ninyi ni mashemeji
 
Back
Top Bottom