Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

Sasa hiki kizee kinakoromewa na maarabu uchwara kinanywea kama jani la mchicha mbele ya jua. Shame on Museveni.
Unamuonea Museveni; hiyo habari imeletwa nusu.

Pamoja na kwamba Field Marshal El Sisi alikuwa anaongea na Gen. Museveni, kimsingi huo ujumbe ulilengwa kwa Ethiopia (kujaza bwawa la kuzalisha umeme) na sio kwa Uganda.
 
Kuna mtaalamu wa masuala ya Vita aliwahi kusema
Vita ya Tatu ya dunia itakuja kwa kupigania maji

Ukiangalia nchi nyingi zinachangia Mto Nile na sisi tumo
Kuna nchi nyingi pia zinatumia maji pamoja.

Kwa hili ugomvi ni rahisi sana maana Huwezi kuishi bila maji

Wa Misri wanategemea sana mto huo kwa % kubwa sana

Angalia baadhi ya nchi hizo pia
IMG_1065.jpeg
 
Maisha ya Egyptians zaidi ya 120 million yanategemea R. Nile na hawana source nyingine ya maji ya uhakika. Unfortunately wao ndio wa mwisho maji kuwafikia.

Yakichezewa kwa kiwango cha kuhatarisha usalama wao watakoroma ndio.
Mbona Lowassa aliwavimbia na maji yakaletwa, Museveni, kama ni kweli alikoromewa ni mwepesi sana na hana maamuzi ya kidola.
 
Mbona Lowassa aliwavimbia na maji yakaletwa, Museveni, kama ni kweli alikoromewa ni mwepesi sana na hana maamuzi ya kidola.
Duh; sieleweki! Maji mnayofyonza Z. Victoria kusambaza Shinyanga na wapi sijui ni tone tu hayana athari kwa Misri.

Ethiopia amefyonza billions of cubic meters na amehamisha mto mkubwa (Blue Nile) unaochangia zaidi ya 75% ya maji yanayoenda Misri. Huyo ndiye anayekoromewa na sio Uganda au Tanzania. Habari imeletwa nusu.
 
Sharia za Kiislam - Ethiopia walizindindia wakamuambia kama ana ubabe ajaribu akione cha moto atakimbizwa hadi kwao Arabuni, Egypt ni nchi ya Weusi
Again kichwa pumbu hilo fuvu sijui lina mchanganyiko wa mavi na kitu gani kingine
Unamjua Waziri Mkuu wa Ethiopia aliekuwa na anamdindishia Sisi? au fuvu limejaa mavi?
 
Duh; sieleweki! Maji mnayofyonza Z. Victoria kusambaza Shinyanga na wapi sijui ni tone tu hayana athari kwa Misri.

Ethiopia amefyonza billions of cubic meters na amehamisha mto mkubwa (Blue Nile) unaochangia zaidi ya 75% ya maji yanayoenda Misri. Huyo ndiye anayekoromewa na sio Uganda au Tanzania. Habari imeletwa nusu.
Je, Ethiopia atanywea, amenywea, au amevimba. Je, watazichapa ? Ataacha mradi aliowekeza USD bilioni kadhaa. ?
 
kwa Tanzania hapa Afrika hakuna taifa la kulitisha.
Ajaribu aone.
Kwa njia gani mkuu?
Maana kijeshi haiwezekani.
Egypt ndiyo taifa namba moja kwa nguvu za kijeshi Afrika wakati Tanzania ni namba 15.

Wana ndege za kisasa za kivita zaidi ya 300. Hata F-16 wanazo.

Utaanzia wapi kuwapiga, au utatuma radi??


Egypt is recognised as the strongest military power in Africa and ranks 19th globally. The Egyptian Armed Forces consist of four main branches: the Army, Navy, Air Force, and Air Defense Forces...
23 Jan 2025

African Military Strength (2025) https://share.google/ZdlZObwocJBujPd0K
 
Back
Top Bottom