Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Tutachapika kama mbwa koko
Huyu anachotegemea ni hawa vikofiaMy Take
Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la mto Nile, makubaliano ambayo yanapingwa vikali na Egypt.
Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja kukabiliana na vitisho vya Egypt?
View attachment 3441320
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tutachapika kama mbwa koko
Kabisa mzee. Huu nao ni utumwa. Maana kilichopo kwenye ardhi yako ni milki yako sasa iweje jirani unizuie kutumia.Hizi ni sheria gani? Kama maji yameanza kwenye ardhi yangu, nisiruhusiwe kuyatumia ili mtu wa bondeni ayapate. Hakika nitayatumia na kiasi kinachobaki anatumia mtu wa bondeni.
Ungeona ambacho ngefanya. Na hayo maji wasingepata ngeyatia sumuUna hiyo jeuri? Una kesho na silaha?
hahahahah duuuh hivi swala anaweza mpiga simba??Sasa unabisha mkuu!?
Kama Tanzania tupo hadi Lebanon kwa wabishi tunalinda amani sembuse huyo mbugila tope wa Afrika ya kaskazini!?
Kwanza tunamchapa geopolitically Kesha kinguvu.
Toa hoja tu boss wangu juu ya haki yetu ya kuyatumia maji hayo . Hasa kwa mataifa ya Afrika Mashariki. Lakini swala la Tanzania kutotishwa na yeyote either militarily , economically, nk ondoa kichwani.Kenge tu huyo,kwa Tanzania hapa Afrika hakuna taifa la kulitisha.
Ajaribu aone.
Tz huko Lebanon mnafanya aje?Sasa unabisha mkuu!?
Kama Tanzania tupo hadi Lebanon kwa wabishi tunalinda amani sembuse huyo mbugila tope wa Afrika ya kaskazini!?
Kwanza tunamchapa geopolitically Kesha kinguv
Tz kuifananisha na Egypt sawa kuifananisha tembo na sisimizi!hahahahah duuuh hivi swala anaweza mpiga simba??
Watanzania hatuna hata ADS na fighter jet za kueleweka uko misri wataenda kwa miguu? Hapa ndo utajua ujinga wa Watanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani wabongo bwana.. eti tuko Hadi Lebanoni!Watanzania hatuna hata ADS na fighter jet za kueleweka uko misri wataenda kwa miguu? Hapa ndo utajua ujinga wa Watanzania
Misri kutuchakaza sisi ni swala dogo sana kwake Sawa Sawa na Simba kumla swalaYaani wabongo bwana.. eti tuko Hadi Lebanoni!
Shutup you fuckin cunt.Nonsense
Ni sheria za kimataifa kwani wanajua maji hayana mipakaHizi ni sheria gani? Kama maji yameanza kwenye ardhi yangu, nisiruhusiwe kuyatumia ili mtu wa bondeni ayapate. Hakika nitayatumia na kiasi kinachobaki anatumia mtu wa bondeni.
Unaingia kwa sababu Misri wanajenga bomba hadi Gaza kwa pesa za UAE, Bila kutuomba ruksa sisi so usidhani kwa weusi wako na muislam wanakuelewa hahaMachoko hua mnawaza mavi tu!
Udini unaingiaje hapo wewe punguani?
Wewe unachuki sana na Uislam hivi hujui Egypt wakristo pia wamejazana.Ndugu wa Uislam wa Adiosamigo Misri wanaleta Sharia Law kwa Uganda, Mwambieni Sisi ajaribu kutuambia huo Ujinga tumuoneshe maji ya ziwa Yawe yanatiririkia Kigamboni.
Uganda waelekeze tu sewage ziwani kama mwanza.. Sisi ale mavi
Najua na Egypt ni Nchi ya Kikristo Coptic mmewaua hadi mmekuwa kero. na Bado kule Alexanria mnaendelea kuwaua ili waishe mmbaki nyie waislam, siku mtafushwa tu mrejee kwenu Saudia hivi nao pia ni Beguin au? hahahaWewe unachuki sana na Uislam hivi hujui Egypt wakristo pia wamejazana.