Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

Victoria ndo Nile sasa misri anakuaje ndo mmiliki?
L. Victoria the main source of White Nile ni sehemu ndogo sana ya the Greater Nile the one reaching Egypt.

Blue Nile, originating in Ethiopia, is the major source of the Greater Nile. Ugomvi uko hapo - Ethiopia kiburi kuchezea Blue Nile hivyo kupunguza downstream waters to Egypt.

Nakumbuka kuna kipindi "waluguru" waliwahi kutishia eti kwa kuwa wao wako milimani Mt Ruvu unakoanzia watavuruga mto kwa hasara ya wakwere na wazaramo walio chini bondeni. Walichojibiwa hadi leo hawakuwahi kujaribu - it's a similar case.
 
Hizi ni sheria gani? Kama maji yameanza kwenye ardhi yangu, nisiruhusiwe kuyatumia ili mtu wa bondeni ayapate. Hakika nitayatumia na kiasi kinachobaki anatumia mtu wa bondeni.
Huyu Farao wa Misri shifa yake hataki mataifa mengina ambayo mto Nlle ndio unaanzia watumie maji ya mto katika hasa kuzalisha umeme, kwani nani ambaye hajui kwamba mto wa Nile unaanzia Rwanda unapitia Tanzania kwenfa Lake Victoria na kupitiliza kwenda Uganda kwenye Dam ya Owen falls Uganda inazalisha umeme wa Taifa lake na jirani kama Tanzania Nle inakwenda Sudan kwa kuungana na Blue Nile inayo toka Ethiopia na Ethiopia imekwisha jenga Dam kubwa inayo zalisha umeme mkubwa unao tumiwa mpaka na majirani, sasa huyu Al Sisi anataka kutisha mayaifa hayo kwa lengo gani, hataki mataifa ambayo yanazalisha mtu Nile wasitumea maji yake, mbona yeye anatumia Mto huo huo wa Nile katika Dam ya Aswan kuzalisha umeme na maji mengine anaya divert kuyapeleka mashambanj, usilite mambo ya kutisha tisha watu ambao sources za mto Nile zinatoka katika mataifa hayo, halafu hata majo yanayo pita kwenye mitambo ya kuzalisha umeme mwisho wa siku yanakwenda na Misri na kuishia kwenye Bahari ya Mediterranean, sasa anataka nini? anzishe vita na mataifa ya Africa Mashariki: Rwanda,Tanzania, Uganda, Ethiopia na Sudan??
 
L. Victoria the main source of White Nile ni sehemu ndogo sana ya the Greater Nile the one reaching Egypt.

Blue Nile, originating in Ethiopia, is the major source of the Greater Nile. Ugomvi uko hapo - Ethiopia kiburi kuchezea Blue Nile hivyo kupunguza downstream waters to Egypt.

Nakumbuka kuna kipindi "waluguru" waliwahi kutishia eti kwa kuwa wao wako milimani Mt Ruvu unakoanzia watavuruga mto kwa hasara ya wakwere na wazaramo walio chini bondeni. Walichojibiwa hadi leo hawakuwahi kujaribu - it's a similar case.
Mimi sikuelewi, kwani maji yanayo zalisha umeme kutoka kwenye DAM si yanapita tu na kuingia mtoni kama kawaida hata yanayo zidi yamewekewa njia ya kutelemka kutoka juu kuingia mtoni licha ya haya maji yanayo pitia kwenye turbines za kuzalisha Umeme, Wamisri wametumia haya maji ya mto Nile kwa karne na karne kwani wao wana hati miliki ya Mto Nile hawataki Mataifa mengine wayatumie, kwa nini hawayazuii kuingia kwenye Bahari ya Mediterranean??

Wafrica wasikubali ku-entertain matakwa ya Waarabu waache Mataifa yote ambayo mto Nile unapitia nao wafaidike na mto Nile na sio wao tu kwa visingizio mbali mbali, kuna wakati niliwahi kumsokia Trump kwenye kipindi chake cha kwanza cha utawala akisema atawasaidia Wamisri kubomoa DAM la Ethiopia kwa kutumia mabom ya Bunker Busters, kisa kwa kuwa DAM lilijengwa na Wachina, hapakuwepo sababu nyingine ya msingi vingine vilikuwa ni visingizio tu, lengo hasa lilikuwa ni kupiga vita miradi iliyo jengwa na Wachina.
 
My Take
Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la mto Nile, makubaliano ambayo yanapingwa vikali na Egypt.

Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja kukabiliana na vitisho vya Egypt?
View attachment 3441320

Hao Jamaa Kwa biti wako vizuri.Pia soma Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe | JamiiForums Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

View: https://www.instagram.com/reel/DNXHVdBIwng/?igsh=MTJ3eHZuYXlxOGMzNQ==

Sawa kwa taarifa tu hakuna biti hapo ni kelele za kisiasa, Lowassa akiwa Waziri wa Maji, pamoja na serikali ya wakati huo walijenga miundo mbinu ya kutoa maji Ziwa Victoria mpaka Shinyanga, ina maana huo mradi una kama miaka 10.

A battle for control over the Nile has broken out between Egypt, which regards the world's longest river as its lifeblood, and the countries of sub-Saharan Africa, which complain that they are denied a fair share of its water.

In the latest escalation in the dispute, which some observers believe could lead to a new conflict in east Africa, Tanzania has announced plans to build a 105-mile pipeline drawing water from Lake Victoria, which feeds the Nile. The project flouts a treaty giving Egypt a right of veto over any work which might threaten the flow of the river.

The Nile Water Agreement of 1929, granting Egypt the lion's share of the Nile waters, has been criticised by east African countries as a colonial relic. Under the treaty, Egypt is guaranteed access to 55.5bn cubic metres of water, out of a total of 84bn cubic metres.

The Egyptian water minister, Mahmoud Abu-Zeid, recently described Kenya's intention to withdraw from the agreement as an "act of war". Boutros Boutros-Ghali, the former secretary-general of the UN, has predicted that the next war in the region will be over water.

The Nile treaty, which Britain signed on behalf of its east African colonies, forbids any projects that could threaten the volume of water reaching Egypt. The agreement also gives Cairo the right to inspect the entire length of the Nile.

It has been gravely resented by east African countries since they won their independence. Kenya and Tanzania suffer recurrent droughts caused by inadequate rainfall, deforestation and soil erosion. The proposed Lake Victoria pipeline is expected to benefit more than 400,000 people in towns and villages in the arid north-west of Tanzania.
 
Inasemekana hata Tanzania aliwahi kuzuiwa kuyatumia maji ya ziwa Victoria Hadi lowasa akaenda huko misri na kuwaambia maji ya ziwa lazima tuyatumie Kwa lazima siyo ombi.Maji yalipelekwa Hadi shinyanga kahama
Lowasa hana ubavu,ni (alikua)muwakilishi wa serikali
 
My Take
Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la mto Nile, makubaliano ambayo yanapingwa vikali na Egypt.

Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja kukabiliana na vitisho vya Egypt?
View attachment 3441320

Hao Jamaa Kwa biti wako vizuri.Pia soma Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe | JamiiForums Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

View: https://www.instagram.com/reel/DNXHVdBIwng/?igsh=MTJ3eHZuYXlxOGMzNQ==

Ladha sahihi ya ukoloni
 
Huu mgogoro sijawahi kuuelewa embu naomba kufahamishwa, mto Nile unapita katika nchi tofauti tofauti kwahiyo hizo nchi hazina mamlaka ya kutumia maji ya huo mto?
 
Kumbe wao watoe wapi maji?
Natunza mazingira na bianowai ili flow iwepo.
Wageuze jangwa kuwa msitu na watapata vyanzo bora zaidi vya maji

Wanapaswa kuja kujadili na sisi namna bora ya matumizi ya maji kwa mgawanyo usiotishia uhai wao na unaozingatia mahitaji yetu.

Waje kwa adabu na akili, siyo kwa hii mikwara mbuzi
 
Zina Haki na mamlaka ila Kwa Kibali maalumu kutoka Cairo hasa Kwa miradi mikubwa inayotumika maji mengi.

Huko downstream Kuna Egypt na Sudan ndio walirwa exclusive rights na Muingereza.
 
Ndugu wa Uislam wa Adiosamigo Misri wanaleta Sharia Law kwa Uganda, Mwambieni Sisi ajaribu kutuambia huo Ujinga tumuoneshe maji ya ziwa Yawe yanatiririkia Kigamboni.

Uganda waelekeze tu sewage ziwani kama mwanza.. Sisi ale mavi
hata mgetumbukiza matani ya mavi hadi yafike tu mpaka wa Sudan hizo mavi zitakuwa zilishamalizwa na Nile Pearch. Nile ni bahari, siyo mto wa kawaida. maji yake hadi kati kati ya jangwa hayachafuki hata kwa vumbi la jangwani. Ni masafi kuliko maji ya mamlaka za maji hapa bongo.
 
Natunza mazingira na bianowai ili flow iwepo.
Wageuze jangwa kuwa msitu na watapata vyanzo bora zaidi vya maji

Wanapaswa kuja kujadili na sisi namna bora ya matumizi ya maji kwa mgawanyo usiotishia uhai wao na unaozingatia mahitaji yetu.

Waje kwa adabu na akili, siyo kwa hii mikwara mbuzi
Utachapika endelea kuleta ujinga
 
Huu mgogoro sijawahi kuuelewa embu naomba kufahamishwa, mto Nile unapita katika nchi tofauti tofauti kwahiyo hizo nchi hazina mamlaka ya kutumia maji ya huo mto?
Mto Nile unaanzia misitu ya Kongo, unapita Rwanda ndo huo Kagera unaoingja ziwa Nyanza ambao mkondo wake unatokea upande wa pili ndo huo Nile.... unapita nchi nyingi ikiwemo Sudan, Ethiopia, Eritrea
 
Edward Ngoyai Lowasa aliwavimbia waarabu wote wanaotumia mto Nile na maji yameletwa Shinyanga, mpaka Kahama hata Tabora na Dodoma yatafika. Yule jamaa alikuwa Mwamba aloooh. Aliwaambia hatuwezi kuamuliwa maji yaliyo kwetu. Sasa hiki kizee kinakoromewa na maarabu uchwara kinanywea kama jani la mchicha mbele ya jua. Shame on Museveni.
Ila sio chura wetu wa sasa muoga muoga
 
Mto Nile unaanzia misitu ya Kongo, unapita Rwanda ndo huo Kagera unaoingja ziwa Nyanza ambao mkondo wake unatokea upande wa pili ndo huo Nile.... unapita nchi nyingi ikiwemo Sudan, Ethiopia, Eritrea
Sasa kwann Egypt wanajipa umuhimu sana as if wao ndio wanaumiliki.
 
Back
Top Bottom