Somalia hawana urafiki na Egypt hata kidogo,Somalia juzi tu waliiomba Tanzania iwapambanie kujiunga EAC na Tanzania ilifanya hivyo.
Somalia Ina strong ties na Tanzania geopolitically,washaleta maafisa wao hapa kujifunza mambo ya utawala tangu kuanzia 2023.
Soon pia tutaanza kulifunza jeshi la Somalia.
Sasa sidhani kama Somalia itakubali kupoteza potential iliyonayo kwa Tanzania kisa Egypt.
Egypt anatakiwa afanye two stops za kufanya refuel kabla hajafika Tanzania. Na hiyo itakua too costly aisee. Pia nchi zingine huko mathalan na West Afrika na Central Africa zikubali anga lake kutumika na Misri,je inawezekana?
Kwa Rwanda usijidanganye mkuu hawezi akathubutu hilo maana anajua geopolitically itakua ni kiama kwake.
Njia rahisi ni Egypt kusogeza aircraft carrier hadi East Africa coastal line.
Na hapo hakuna nchi itamruhusu asogeze aircraft carrier zake ukanda wa bahari wa Afrika mashariki.