Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

Kwa matumizi ya nyumbani tu haiwezi kuathiri. Tatizo ni kama yatatumika Kwa umwagiliaji
Unaongea kitu usichokijua, Misri inashikilia mkataba uliosainiwa kati ya uingereza wakati wa ukoloni na misri, Tanzania 🇹🇿 haipo kwenye huo mkataba maana wakati huo ilikuwa chini ya ujerumani , Uganda 🇺🇬 hairuhusiwi hata kwa matumizi ya nyumbani kama Tanzania 🇹🇿
 
Kwa hio hpo misri wako sahihi kuwa wakali
Kwa mustakabali wa taifa lao
Ila ukiangalia nchi nyingine zina vyanzo vingi vya maji
Misri wana huo mto tuh
Na wako wengi balaaa
Wadhibiti population; sio kuzaliana kama nzi while rasilimali maji ni mtihahani kwao. Alternatively, wasafishe maji ya bahari badala ya vitisho kwa wengine.
 
My Take
Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la mto Nile, makubaliano ambayo yanapingwa vikali na Egypt.

Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja kukabiliana na vitisho vya Egypt?
View attachment 3441320

Hao Jamaa Kwa biti wako vizuri.Pia soma Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe | JamiiForums Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

View: https://www.instagram.com/reel/DNXHVdBIwng/?igsh=MTJ3eHZuYXlxOGMzNQ==

Hili timbwili ni zitto boss wako Samia hana ubavu wa kulikabili!! Ndio maana tunasema tumwage oil tupate new vigour; huyu bibi mizigo kama hii hana ubavu wa kuyabeba!!
 
Hizi ni sheria gani? Kama maji yameanza kwenye ardhi yangu, nisiruhusiwe kuyatumia ili mtu wa bondeni ayapate. Hakika nitayatumia na kiasi kinachobaki anatumia mtu wa bondeni.
Lowassa ndie aliefanikisha hili kwa kufanya maji ya ziwa Victoria kutumika huko Shinyanga na Mwanza maana mwanzo ilikua ni marufuku na nilikua nashangaa sana hao Ethiopia wamejenga dam kubwa na huyo Misri katulia kimya hakuna kitu anaweza kuwafanya sema sisi sasa..
 
Ndugu wa Uislam wa Adiosamigo Misri wanaleta Sharia Law kwa Uganda, Mwambieni Sisi ajaribu kutuambia huo Ujinga tumuoneshe maji ya ziwa Yawe yanatiririkia Kigamboni.

Uganda waelekeze tu sewage ziwani kama mwanza.. Sisi ale mavi
Mna chuki balaa na waarabu, mna chuki balaa na waislamu,

Punguzeni hizo chuki.
 
Sharia za Kiislam - Ethiopia walizindindia wakamuambia kama ana ubabe ajaribu akione cha moto atakimbizwa hadi kwao Arabuni, Egypt ni nchi ya Weusi
Nani kakuambia misry ni nchi ya weusi? Eti akimbizwe hadi kwao wapi huko? Mtapiga kelele na kuumia ila misri itaendelea kuwepo, Morocco, algeria, tunis zote zitaendelea kuwepo. Nyie endeleeni na chuki zenu zisizoisha, ndicho mlichonacho.
 
Edward Ngoyai Lowasa aliwavimbia waarabu wote wanaotumia mto Nile na maji yameletwa Shinyanga, mpaka Kahama hata Tabora na Dodoma yatafika. Yule jamaa alikuwa Mwamba aloooh. Aliwaambia hatuwezi kuamuliwa maji yaliyo kwetu. Sasa hiki kizee kinakoromewa na maarabu uchwara kinanywea kama jani la mchicha mbele ya jua. Shame on Museveni.

Misri wataendelea kutumia maji, wakristo mna chuki sana, angelikua taifa teule mngethubutu kuongea au mzungu! Nyie hamuwapendi waarabu, mnawachukia sana sana, ila hao hao ndio wamewaletea ustaarabu, na sio myahudi wala mzungu. Punguzeni hizo chuki kwa waarabu.
 
Sijui umeandika nini mkuu. Maji ni uhai, na maji ya ziwa Victoria umewekewa tangu asili na MUNGU. Ukristo au uislam na maji wapi na wapi. Udini/uislam umekujaa mpaka umekuondolea akili zote.

Lowasa alipopeleka maji Shinyanga, Tabora na Kahama, misikitini inayatumia na makafiri pia. Ndiyo maana unaona rasilimali zako bora azitumie mwarabu anayekuona wewe mweusi ni mbwa tu. Muislam mweusi Hana thamani kabisa uarabuni, bora ngamia ana thamani.
 
Sharia za Kiislam - Ethiopia walizindindia wakamuambia kama ana ubabe ajaribu akione cha moto atakimbizwa hadi kwao Arabuni, Egypt ni nchi ya Weusi
Ethiopia ipi hiyo? Hao wayahudi weusi wakijichanganya watapotezwa maana wapo weak sana vitani.
 
Mwambieni Sisi ajaribu kutuambia huo Ujinga tumuoneshe maji ya ziwa Yawe yanatiririkia Kigamboni.
Yaani Tanzania na Misri wapigane? Hehehehe haupo serious, watatuma drone mbili tu kwisha habari.

Ila ni vizur muache unafiki, hata umeme na maji Palestine huwa Israel ndio inaamua muda gani umeme uwake muda gani ukatwe ila wakifanya mataifa mengine inakua haramu.
 
Nani kakuambia misry ni nchi ya weusi? Eti akimbizwe hadi kwao wapi huko? Mtapiga kelele na kuumia ila misri itaendelea kuwepo, Morocco, algeria, tunis zote zitaendelea kuwepo. Nyie endeleeni na chuki zenu zisizoisha, ndicho mlichonacho.
Misri ni nchi ya weusi ya wanubi na moors.
Waarabu walikuja kuanzia miaka ya 1600 kuchanganya damu na moors,wanubi asili yao kuhama hama ndio maana hawajabaki wengi Afrika ya kaskazini.
Soma muislam mwenzangu usizembee kwenye elimu.
 
Yaani Tanzania na Misri wapigane? Hehehehe haupo serious, watatuma drone mbili tu kwisha habari.

Ila ni vizur muache unafiki, hata umeme na maji Palestine huwa Israel ndio inaamua muda gani umeme uwake muda gani ukatwe ila wakifanya mataifa mengine inakua haramu.
Misri hana drone ya kutoka Cairo hadi Dar. Hivi unajua range ya drone mkuu!?
Ili Misri atupige anatakiwa afanye millitary deployment karibu na ukanda wa Afrika mashariki.
Na hilo ni nearly impossible.
 
Misri hana drone ya kutoka Cairo hadi Dar. Hivi unajua range ya drone mkuu!?
Ili Misri atupige anatakiwa afanye millitary deployment karibu na ukanda wa Afrika mashariki.
Na hilo ni nearly impossible.
Not per se drone my point is ana airforce strong mara 100 kuliko yetu kwahiyo anaweza tuma ndege mbili tu mchezo ukaisha. Vita ya sasa hatuhitaji wavunja matofali wala wapiga karate sahivi ni drones, air supremacy na cyber attacks basi vita inaisha.
 
Sio kwa Egypt.
Egypt Hana air supremacy ya kutembeza ndege more than 5000kms.
Embu kasome range za fighter jets mkuu.
Strategically Egypt hana capability ya kutupiga kutumia ndege,unless asogeze battle ships hadi East Afrika coastal area ili apunguze distance ya flight ya hizo fighter jets.
Na je nani atamruhusu?
Maana ghuba ya Afrika mashariki hakuna nchi iliyo na urafiki na Egypt.
 
Egypt Hana air supremacy ya kutembeza ndege more than 5000kms.
Nani kakuambia inaenda tu directly si ana allies kma Somalia n.k ana land na kufanya refill mpaka afike.
Maana ghuba ya Afrika mashariki hakuna nchi iliyo na urafiki na Egypt.
Somalia
Na je nani atamruhusu?
Hakuna permanent enemies kwenye vita ni about interests. Kama akitaka eliminate Uganda anaweza pewa eneo na kagame just to get back at him.
 
Back
Top Bottom