Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Ziwa Viktoria lina uhusuiano gani na mto Naili?
Hata Ethiopia na wao Wana haki huyo Raisi aache wengeDuh; sieleweki! Maji mnayofyonza Z. Victoria kusambaza Shinyanga na wapi sijui ni tone tu hayana athari kwa Misri.
Ethiopia amefyonza billions of cubic meters na amehamisha mto mkubwa (Blue Nile) unaochangia zaidi ya 75% ya maji yanayoenda Misri. Huyo ndiye anayekoromewa na sio Uganda au Tanzania. Habari imeletwa nusu.
Eehh 😂🤔🙄Ziwa Viktoria lina uhusuiano gani na mto Naili?
Elimu yako ya awali ulisomea wapi?Ziwa Viktoria lina uhusuiano gani na mto Naili?
Sijasoma mkuuElimu yako ya awali ulisomea wapi?
Halafu umo jf unapost na kuuliza maswali online!Sijasoma mkuu
Kwa akili zangu. Aiseee. Hapo ngemjibu kwa kweli kama anaongea kibabe. Yaani kesho yake tu ningesema tuanze kutumia hayo maji. Huyo Rais ni mpuuzi na kamwona Museven ni weak.My Take
Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la moto Nile.
Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja kukabiliana na vitisho vya Egypt?
View attachment 3441320
M23 wana 🤣🤣Kenge tu huyo,kwa Tanzania hapa Afrika hakuna taifa la kulitisha.
Ajaribu aone.
Sijasoma shidaHalafu umo jf unapost na kuuliza maswali online!
Una hiyo jeuri? Una kesho na silaha?Kwa akili zangu. Aiseee. Hapo ngemjibu kwa kweli kama anaongea kibabe. Yaani kesho yake tu ningesema tuanze kutumia hayo maji. Huyo Rais ni mpuuzi na kamwona Museven ni weak.
Watalipua hako ka bwawa ka umeme walikowasaidia chapNdugu wa Uislam wa Adiosamigo Misri wanaleta Sharia Law kwa Uganda, Mwambieni Sisi ajaribu kutuambia huo Ujinga tumuoneshe maji ya ziwa Yawe yanatiririkia Kigamboni.
Uganda waelekeze tu sewage ziwani kama mwanza.. Sisi ale mavi
Unadida wakati wamekujengea na kabwawa ,watalipua chap na hakuna Cha kuwafanya 😆😆Kenge tu huyo,kwa Tanzania hapa Afrika hakuna taifa la kulitisha.
Ajaribu aone.
Thubutu uoneSawa mkuu. Kwani sisi Tz tukiamua kuweka bwawa kwa hayo maji atatukoromea ?
Ni mbabe.Itakua ujinga na unyonge mkubwa sana huu kama misri tutamruhusu kutufanyia.
Ndio maana mamiradi makubwa ya irrigation around Lake Victoria marufuku Hadi Egypt atoe permission.Duh; sieleweki! Maji mnayofyonza Z. Victoria kusambaza Shinyanga na wapi sijui ni tone tu hayana athari kwa Misri.
Ethiopia amefyonza billions of cubic meters na amehamisha mto mkubwa (Blue Nile) unaochangia zaidi ya 75% ya maji yanayoenda Misri. Huyo ndiye anayekoromewa na sio Uganda au Tanzania. Habari imeletwa nusu.
Maji ya kunywa sio shida.Maji ya irrigation nk ndio shidaMbona Lowassa aliwavimbia na maji yakaletwa, Museveni, kama ni kweli alikoromewa ni mwepesi sana na hana maamuzi ya kidola.
NonsenseKama CCM wapo madarakani achukue mpaka mlima kilimanjaro na mbuga zote za wanyama.
Duh; I didn't know this. Ndio maana nashangaa few kilometers from the lake ni ukame wa ajabu unajiuliza kwanini maji yasivutwe from there hupati jibu. Kumbe tumepigwa pini in favor of the Egyptians.Ndio maana mamiradi makubwa ya irrigation around Lake Victoria marufuku Hadi Egypt atoe permission.