Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election
kama mnayo katiba nzuri kiasi hicho, kwanini sasa kenya ni miongoni mwa failed states? 1. Rushwa imeshamiri 2. Njaa ndiyo nyumbani kwake 3. Ukame wa mara kwa mara unaosababishwa na ukataji hovyo wa misitu 3. kukosekana kwa umoja wa kitaifa unaosababishwa na ukabila na mgawanyo usiyo sawa wa rasilimali mfano ardhi ambayo ni rasilimali muhimu sana kwa maendeleo inashikiliwa na walio wachache kwa manufaa yao binafsi 4. Amani na utulivu hafifu, watu kutekwa ni jambo la kawaida 5. Kuwa na jeshi dhaifu lisilo na maadili hata raia anaweza kumtisha 6.

Kwa taarifa yako Kenya ndio inaongoza kiuchumi, kielimu ukanda wote huu, haya yote yalichangiwa sana na katiba mpya, awali tuliishi maisha ya hovyo sana chini ya uongozi wa chama kimoja hadi ile siku kilinuka mpaka ikabidi tufumue katiba na kuandika upya ndio Kenya ilipaa kwenye nyanja zote, pengo la kiuchumi baina ya Kenya na Tanzania liliongezeka kwa mwendo kasi mpaka leo tunakaribia kuwazidi mara mbili licha ya nyie kuwa na raslimali zote na kila kitu ikiwemo ardhi kubwa ambayo haina ukame wowote, tofauti na Kenya zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu.

Nyie hapo mpaka mtakapozinduka na kuthubutu kubadilisha chama mtaendelea kuchelewa sana maana humo kwenye hicho chama ni system iliyojichimbia tangia uhuru na hujilinda sana na kulindana humo humo bila kujali maslahi ya wananchi.....
 
jibu maswali ya msingi, uchumi mkubwa una faida gani kama mnakufa njaa, mnalala kwenye slums? uchumi wa kenya unashikiliwa na wajanja wachache na faida wanapeleka kwao, Nairobi express way imejengwa maalumu kwa ajili ya mabwenyenye wacheche wa westlands utakuta mkunya yupo hapa anashangilia hahahahhaha. Naipenda sanna nchi yangu ina uchumi inclusive
 
Huko kwa Mlima Kenya ambako Rutto altegemea atabeba kura kwenye vituo vya kura wamejitokeza wachache sana, na hata hao waliojitokeza ni watu wazima.

Wale vijana walikuwa wanajaza mikutano ya Ruto hawapo vituoni sijui hata waliko 😂😂😂.. Na katika sehemu Ruto amepiga kampeni na kutegemea kupata kura za kumwezesha kuwaRais ndio huko.. Kazi ipo
 
jibu maswali ya msingi, uchumi mkubwa una faida gani kama mnakufa njaa, mnalala kwenye slums? uchumi wa kenya unashikiliwa na wajanja wachache na faida wanapeleka kwao, Nairobi express way imejengwa maalumu kwa ajili ya mabwenyenye wacheche wa westlands utakuta mkunya yupo hapa anashangilia hahahahhaha. Naipenda sanna nchi yangu ina uchumi inclusive

Njaa ni jambo la kawaida kwneye nchi ambayo zaidi ya nusu ni kame tupu, hata tunajaribu sana aki ya nani, mengine hayo ya slums zipo hata Marekani hivyo hamna kikubwa, kimsingi mimi nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana tangu tupate katiba mpya na kufumua uongozi wote uliokuwepo.

Kwenu huko katiba mpya ndio dawa tu, sema nyie tatizo kubwa hamna uthubutu, mpo mpo tu siku zisonge,
 
On KBC, IEBC wako hewani. Mpaka sasa kira zimepigwa million 6 kati ya kura milioni 22
 
Umri umeenda na Kenya vijana ni wengi watampa tu Hustler
Hao vijana kule ukikuyuni hawaonekani kwenye vituo vya kura. Ruto atalimia meno kwa kuamini block moja tu itampa Urais..

Mpaka muda huu Tume inasema zimepigwa kura 6m tu. Fanya times two labda zitakuwa 12m mpaka muda wa vituo kufungwa. Ruto hatoboi hapo, vijana wanapiga kura mitandaoni tu..
 
vipi, habari za kibera? akili zako ni za kunya na kukojoa kwenye mifuko, poor kenyans, wataalamu wa kuishi kwenye slums duniani kote
Halafu mi mtanzania wala si mkenya hapo ndipo unapodhihirisha wewe ni wasted sperms. Yaani uko tayari ku risk maisha kuning'inia pale kwenye vyuma sinza upate jezi na hela ni yako kuliko kupigania vitu vya msingi? Haya jezi imekusaidia nini? Ninyi ni watu wa hovyo sana hamna mnalowaza zaidi ya petty issues.
 
Ruto ndiye rais wa Kenya 🇰🇪, utake usitake. Ndiye mtu pekee anahitaji kuongoza Kenya 🇰🇪
Mudawote mrembo bado upo pale Lumumba? Nakuhitajia tena na sina namna yakukupata. Thanks
 
Anaonekana kuwa na wafuasi wengi ila kutofautiana na mkubwa wake kutamcost...
Natamani ashinde Raila though
Kenya siyo Tanzania. Sisi huku Tanzania huwa tunaamua kubadili matokeo ila Kenya huwezi watu watachinjana. Ndiyo maana nasema Ruto atashinda kwa sababu hela anayo na wafuasi anao na pia mabeberu they are behind him.
 
Yaani Raisi wa nchi tena ya Afrika Mash akupigie kampeni kwa nguvu vile na ukose uraisi. Never happen!!
Kumbuka uraisi mwafrika hupewa na raisi aliye madarakani, na si wananchi.
Kenya sio Tz wewe, atakaeshinda ndio atatangazwa.
Wakenya wanajua madhara yaliyotokea katika chaguzi zilizopita kama maafa ya raia wengi na uharibifu mkubwa wa mali. Hivyo yyote atakaeshinda kweny sanduku ndio mshindi.

HAKUNA MBELEKO HUKO.
 
Njaa ni jambo la kawaida kwneye nchi ambayo zaidi ya nusu ni kame tupu, hata tunajaribu sana aki ya nani, mengine hayo ya slums zipo hata Marekani hivyo hamna kikubwa, kimsingi mimi nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana tangu tupate katiba mpya na kufumua uongozi wote uliokuwepo.

Kwenu huko katiba mpya ndio dawa tu, sema nyie tatizo kubwa hamna uthubutu, mpo mpo tu siku zisonge,
kuwa na ukame siyo ticket ya njaa, hiyo elimu mnayojisifia nayo mnaitumiaje kupambana na njaa? Qatar, Saudi arabia na nchi nyingine za mashariki ya kati na arabuni wanayo majangwa na siyo nchi kame au nusu jangwa kama kenya, lakini ni donor county. Huu ni uthibitisho tu elimu yenu haiwasaidii. Tatizo siyo ardhi wala rasilimali, tatizo la kenya mindset,
 
Kenya siyo Tanzania. Sisi huku Tanzania huwa tunaamua kubadili matokeo ila Kenya huwezi watu watachinjana. Ndiyo maana nasema Ruto atashinda kwa sababu hela anayo na wafuasi anao na pia mabeberu they are behind him.
Tutakumbushana mkuu... let's wait and see
 
kuwa na ukame siyo ticket ya njaa, hiyo elimu mnayojisifia nayo mnaitumiaje kupambana na njaa? Qatar, Saudi arabia na nchi nyingine za mashariki ya kati na arabuni wanayo majangwa na siyo nchi kame au nusu jangwa kama kenya, lakini ni donor county. Huu ni uthibitisho tu elimu yenu haiwasaidii. Tatizo siyo ardhi wala rasilimali, tatizo la kenya mindset,

Ukame ndio sababu kuu ya njaa duniani maana ni natural phenomen ambayo hauna control nayo, ni eneo ambalo ni nusu jangwa, hakulimiki, hivyo inabidi tuwekeze kwenye service industry na mengine na pia eneo lililo avaialble tunafanya ukulima wa mazao yenye kuleta hela nyingi zinazotuwezesha kununua chakula kutoka kwa nchi kama yenu yenye rotuba nzuri kot.
 
kuwa na ukame siyo ticket ya njaa, hiyo elimu mnayojisifia nayo mnaitumiaje kupambana na njaa? Qatar, Saudi arabia na nchi nyingine za mashariki ya kati na arabuni wanayo majangwa na siyo nchi kame au nusu jangwa kama kenya, lakini ni donor county. Huu ni uthibitisho tu elimu yenu haiwasaidii. Tatizo siyo ardhi wala rasilimali, tatizo la kenya mindset,
Vipi jezi uliyoigombania kwa kuitolea laki imekupea nini leo?
 
Back
Top Bottom