Rais akikosea aambiwe ukweli hadi aelewe

Ndio maana ya EIA ,kabla ya kufanya hivyo lazima hiyo kitunifanyike kuonesha namna ikolojia italindwa.
Nani atalinda Ikolojia mbugani?
Watanzania hawa wa mijini wanajenga kwenye service road, wanajenga mabondeni na hakuna anayewasimamia, utaewasimamia wachimba madini porini wasikate miti, wasiue swala nk?
Kwani ni Tanzania pekee ndio wa kwanza kuchimba Madini hitadhini? Huko Amazon inafanyika hivyo na kwingine.
Wao wameweza maana wametoa elimu ya kutosha kwa watu wao kulinda na kuheshimu raslimali zao hata kabla hawajafikiria kuchimba madini.
Ndiyo maana leo wanavijiji wa Brazil wakivamiwa na Anakonda wanamkamata na kumrudisha porini.
Watanzania wakivamiwa na nyumbu watamuua kumfanya kitoweo.
Sijaona hoja ya msingi yaani Kila kitu ni kupinga tuu.
Mkuu kwenye kusifu tutasifia, lakini kwenye makosa pia tutakosoa.
Tuliwaunga mkono kuhamisha wamasai kwa nia ya kulinda mapori yetu, lakini hili la kufukua fukua hifadhini tutalipinga.

Bwawa la Nyerere limefanyika hitadhini na hakuna kilichoharibika.
Usilinganishe mradi mkubwa wa kimkakati kama ule na project za kuchimba Ruby, Tourmaline, Green Garnet au Dhahabu.
Hiyo ni vurugu hifadhini.
Haiwezekani.
 
Nani atalinda Ikolojia mbugani?
Watanzania hawa wa mijini wanajenga kwenye service road, wanajenga mabondeni na hakuna anayewasimamia, utaewasimamia wachimba madini porini wasikate miti, wasiue swala nk?

Wao wameweza maana wametoa elimu ya kutosha kwa watu wao kulinda na kuheshimu raslimali zao hata kabla hawajafikiria kuchimba madini.
Ndiyo maana leo wanavijiji wa Brazil wakivamiwa na Anakonda wanamkamata na kumrudisha porini.
Watanzania wakivamiwa na nyumbu watamuua kumfanya kitoweo.

Mkuu kwenye kusifu tutasifia, lakini kwenye makosa pia tutakosoa.
Tuliwaunga mkono kuhamisha wamasai kwa nia ya kulinda mapori yetu, lakini hili la kufukua fukua hifadhini tutalipinga.

Usilinganishe mradi mkubwa wa kimkakati kama ule na project za kuchimba Ruby, Tourmaline, Green Garnet au Dhahabu.
Hiyo ni vurugu hifadhini.
Haiwezekani.
Uchimbaji wa huko hifadhini sio sawa na uchimbaji wa kienyeji wa Wachimbaji Wadogo.

Huo utakuwa uchimbaji controlled kama ilivyo GGM au migodi mingine mikubwa kwenye Nchi za wenzetu wanaofanya mining kwenye Hifadhi au jirani na Hifadhi.
 
Ni jambo baya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya tz kuchimba madini mbugani sababu madini yanayochimbwa sasa mengi yanaibwa na hayana msaada wowote kwa wabongo, ila utalii umeajiri mamilioni ya watu wa hali zote.

Binafsi namkubali sana Bimkubwa na huwa nikisifia sana kazi nzuri za mama na nikibubujikwa na machozi ya furaha kwa bidii na upendo wake kwa raia ila katika hili nadhani hayuko sahihi na atalaumiwa na kulaaniwa milele. Yaani kelele zitapigwa hata atakapomaliza uongozi raia wataendelea kumshutumu akiwa Kizimkazi, hawatamuacha apumzike.
Iko siku raia watamzomea na itakuwa mbaya sana kwake kwa kazi kubwa anayofanya kujenga nchi.

Kama watachimba kibabe basi wasiache kuekti filamu ya Royal Tour part 2 inayoonesha shughuli za uchimbaji madini zikiendelea mbugani huku wanyama kama nyumbu wakishangilia uwekezaji !!!

Namshauri hili aliache lipite ni too much.
 
Mnatutaharibia urithi wetu wa Dunia....acheni tamaa.
Utaharibikaje sasa,kwani Madini yatachombwa milele? Na pia kwani yanachimbwa kienyeji Hadi urithi uharibike? Nchi nyingi zinachimba sio Tanzania pekee.

Hata hivyo Serikali inaweza amua kupunguza eneo la Hifadhi kama Kuna ulazima.
 
A PRESIDENT COMES FROM A SPECIAL GROUP INSULATED FROM ANY FORM OF CRITICISM:

1. She's a woman
2. She's a muslim
3. She's a zanzibari

Even if ancient Prophets descend from the heaven to breath wisdom into her hardened soul, her legion of muslim and Zanzibar followers would treat those Prophets as Pathetic Quislings.

With Samia, it's too late. Her soul is beyond redemption.

When she got away, unscathed from damning fiascos worthy of an impeachment like those of DP World, and Expulsion of Maassai from the Serengeti to cater for Arab interests, there's nothing you can ever do or say in this world to deter her endeavors.

By the way, what makes you think she'll listen to you ?

This country is just lost.​
 
Binafsi naamini kabisa Raisi yuko sahihi, wanyama hawali madini.

Mama yetu inabidi tuendelee kumwamini kama tulivyomwamini kwenye sakata la bandari, na tusikate tamaa kumtetea. Hizi fitna za kuzuia Madini yasichimbwe ni Propaganda za Kikatoliki kwasababu wananufaika na hizo mbuga, endapo tutaanza kuchimba madini ni lazima maslahi ya kanisa yataguswa.

Halafu makampuni ya UAE yakichimba madini hayawezi kuharibu mazingira. Kama Ortello Hunting wako miaka na miaka na hakuna uharibifu wowote ule, sembuse kuchimba madini ? Hawa ndugu zetu waarabu wana mitaji mikubwa na wana ustaarabu sana kwenye mazingira. Waliweza kuigeuza Dubai kutoka jangwa kuwa jiji la kitalii, sidhani kama wanaweza kuharibu mazingira.

Kama tulimwamini Raisi kwenye makubwa kama Bandari, basi na hili la mbuga tumwamini.

Mr Q
 
Hii kauli Raisi aliitoa lini akiwa wapi?
Mwenye video au sauti apandishe hapa tuione jameni.
 
Binafsi naamini kabisa Raisi yuko sahihi, wanyama hawali madini.

Mama yetu inabidi tuendelee kumwamini kama tulivyomwamini kwenye sakata la bandari, na tusikate tamaa kumtetea. Hizi fitna za kuzuia Madini yasichimbwe ni Propaganda za Kikatoliki kwasababu wananufaika na hizo mbuga, endapo tutaanza kuchimba madini ni lazima maslahi ya kanisa yataguswa.

Halafu makampuni ya UAE yakichimba madini hayawezi kuharibu mazingira. Kama Ortello Hunting wako miaka na miaka na hakuna uharibifu wowote ule, sembuse kuchimba madini ? Hawa ndugu zetu waarabu wana mitaji mikubwa na wana ustaarabu sana kwenye mazingira. Waliweza kuigeuza Dubai kutoka jangwa kuwa jiji la kitalii, sidhani kama wanaweza kuharibu mazingira.

Kama tulimwamini Raisi kwenye makubwa kama Bandari, basi na hili la mbuga tumwamini.

Mr Q

Ukatoliki unakujaje hapa kwenye kauli ya Raisi na Madini ya mbugani?
Kwamba wakatoliki wanahusikaje na madini yaliyopo Mbugani we jamaa?
 
Mkuu, upumbavu wako ni wa kiwango cha juu sana...unayo akili timamu kweli?!.
 
Uchimbaji wa huko hifadhini sio sawa na uchimbaji wa kienyeji wa Wachimbaji Wadogo.

Huo utakuwa uchimbaji controlled kama ilivyo GGM au migodi mingine mikubwa kwenye Nchi za wenzetu wanaofanya mining kwenye Hifadhi au jirani na Hifadhi.

..Serengeti ni mbuga maarufu kuliko zote hapa nchini, na katika ukanda wa Afrika.

..Pia Serengeti ndiyo mbuga inayotupatia mapato makubwa kuliko mbuga zote hapa Tanganyika.

..Serengeti ina historia na jina kubwa duniani. Kazi za kuitunza na kuitangaza Serengeti imefanyika kwa miaka mingi sana.

..Thamani na umuhimu wa Serengeti kwa Tanganyika, ni sawa na thamani ya Mapiramidi kwa wenzetu wa Misri.

..Serikali ya Misri ikichukua uamuzi wa kuchimba madini ktk maeneo yaliko Mapiramidi lazima wananchi wa Misri watahoji, na dunia itawashangaa viongozi wao.

..Ziko mbuga na hifadhi hapa Tanganyika serikali inaweza kuchimba madini, au hata kuzifuta, na wananchi wasishtuke. Lakini sio Serengeti, Ngorongoro, na Mlima Kilimanjaro.

..Serengeti ni URITHI wa vizazi vya Watanganyika. Ni "mboni" ya uhifadhi na utalii hapa Tanganyika. Kila Raisi anayeingia anapaswa kuitunza.
 
Mkuu JokaKuu naona na wewe umeingia kwenye kundi la wahafidhina na wadini wa Tanganyika ambao wana lengo la kumkwamisha Raisi. Jambo moja ambalo inabidi uelewe ni kwamba Uraisi ni taasisi na Raisi amefanye Informed Decisions, hajakurupuka tu.

Wawekezaji ambao tunawaleta hapa ndiyo walewale tuliowaleta bandarini, waarabu wa UAE, ambao ni watu wema sana na wana maendeleo makubwa kuliko sisi. Dubai ilikuwa jangwa lakini wakaibadilisha kuwa jiji la kisasa kabisa, hivyo hawawezi kuanza kuchimba madini bila kufanya Environmental Impact Assesment (EIA) za kiwango cha juu.

Kuhusu wanyama, nao tutawahamisha tu kama tulivyowaamisha wamassai. Wengine watauzwa, maana hili tumeshaanza kulifanya kama ulivyoona juzi alivyokuja yule kiongozi wa Uarabuni. Hivyo ni lazima Tanzania iendelee kwa namna yoyote ile.

Kina Mzee Nyerere walikosa sana busara, kuanzisha hifadhi sehemu zenye madini na kuyafukia tu ilhali Tanzania inahitaji maendeleo. Hivyo nakuomba sana ndugu yangu, kama ambavyo tulimwamini Raisi kwenye jambo kubwa la Bandari na DP World, basi tumwamini kwenye hili dogo la madini.

Mama ni mtu Smart na Muungwana sana.​
 
Ukatoliki unakujaje hapa kwenye kauli ya Raisi na Madini ya mbugani?
Kwamba wakatoliki wanahusikaje na madini yaliyopo Mbugani we jamaa?
Mkuu, upumbavu wako ni wa kiwango cha juu sana...unayo akili timamu kweli?!.
Ninyi mna chuki za kidini, na mnachelewesha maendeleo ya Tanzania. Ila fahamuni kwamba Raisi Samia ni Mzalendo ambaye hafanyi vitu kwa kukurupuka. Huu uamizi wa kuchimba madini ni wa kisayansi na Informed Decision kutoka kwa wataalamu wetu wa idara mbalimbali.​
 
Binafsi naamini kabisa Raisi yuko sahihi, wanyama hawali madini.

Mama yetu inabidi tuendelee kumwamini kama tulivyomwamini kwenye sakata la bandari, na tusikate tamaa kumtetea. Hizi fitna za kuzuia Madini yasichimbwe ni Propaganda za Kikatoliki kwasababu wananufaika na hizo mbuga, endapo tutaanza kuchimba madini ni lazima maslahi ya kanisa yataguswa.

Halafu makampuni ya UAE yakichimba madini hayawezi kuharibu mazingira. Kama Ortello Hunting wako miaka na miaka na hakuna uharibifu wowote ule, sembuse kuchimba madini ? Hawa ndugu zetu waarabu wana mitaji mikubwa na wana ustaarabu sana kwenye mazingira. Waliweza kuigeuza Dubai kutoka jangwa kuwa jiji la kitalii, sidhani kama wanaweza kuharibu mazingira.

Kama tulimwamini Raisi kwenye makubwa kama Bandari, basi na hili la mbuga tumwamini.

Mr Q

..shida yetu ni mapato.

..tukiihifadhi Serengeti na kuitangaza zaidi tunaweza kuongeza mapato serikalini.

..hatupaswi kukata tamaa ktk utalii wetu na kuanza kuvuruga na kuharibu hifadhi zetu.

..vilevile yako maeneo mengi ya Tanganyika ambayo yana madini na hayako ktk hifadhi, ni vizuri serikali ikachimba huko, badala ya kulazimisha kuchimba Serengeti.
 
Huyu akichimba madini Serengeti halafu dunia nzima ikasusa kuja Tanzania ndiyo atajua hajui.
Halafu atachafuka vibaya Sana especially hizo kampuni za madini zikitoka huko Asia... western media zitamchafua kupita maelezo....
Hii habari inaweza kumchafua milele kuliko anavyofikiria
 
Back
Top Bottom