Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria?

CAG hata kama anveweza kukagua ofisi yake kama raisi lazima dosari zionekane na akumbuke kuwa hakuna serikali kuanzia awamu ya nne hadi ya tano ambayo katika idara yoyote ambayo ilikosa dosari katika ukaguzi ambao amewahi kufanya CAG zaidi ya hapo labda huenda baada ya uchunguzi kuna vifungu vya sheria anaweza kumwajibisha aliyewahi kuwa DDP biswalo mganga ambaye kwa sasa ni jaji. wanasema kwa katiba yetu raisi anamamlaka makubwa lolote linaweza kutokea.

Siamini kama serikali ya awamu ya sita ingeweza kumpa ujaji biswalo mganga bila kujuwa tuhuma zinazosemwa hivi sasa, nachofaham lazima walijiridhisha kwa mambo mengi hadi kuteuliwa kwake. zitto na wenzake wapo kwa ajiri ya kazi maalumu ya kuchafua ligacy ya aliyekuwa raisi wa awamu ya tano Dr.john pombe magufuli lakini wajue kuwa hilo haliwezekani na halitiwezekana hata siku moja.

Mitego anayoingia raisi kuna kilasababu yakuweza kuiangalia ili asije ajaingizwa kwenye kuharibu serikali yake maana zaidi yakuongeza vijana wengine ajue kuwa anaofanya nao kazi ni walewale.

Mtu yeyote anayelalamika kudhulumiwa mali zake ana haki yakwenda kwenye vyombo vya sheria kuliko kushambulia aliyekuwa mteule wa raisi na kama aliwaibia mnahaki ya kumfungulia mashitaka yoyote yale mnayoona yanafaa.

Nachifahamu kila mwenye kesi a yoyote kila kitu kilikuwa kinafanywa kwa makubaliano na kwa mjibu wa sheria.

Mheshimiwa raisi kuwa makini na magenge hayo yanayotaka kila kitu yakuamulie mengine amua mwenyewe, tuhuma ni nyingi mno na baadhi ya maneno yanayosemwa na mwandishi wa habari erick kabendera yanaweza yakaleta taharuki nchini
 
Tulieni ile legacy ya yule kiongozi muovu iwekwe hadharani. Wakati mnapora watu kwa ulevi wa madaraka hamkujua kuwa yana mwisho? Sasa mnaona yule kiongozi wenu muovu uchafu wake unaenda kuanikwa, mnaanza kujihami na awamu nyingine.

Safari hii tunachanguza uchafu wa awamu ya dhalimu, na nyie kachunguzeni ya awamu ya nne na hii ya 5+. Mtaonyesho ni sheria gani mlitumia kupora fedha kwenye bureau de change za watu, majizi na wauaji wakubwa nyie.
 
Au we ndo Biswalo mwenyewe nini!
biswalo siyo raisi kuguswa na hata cheo cha Dpp siyo rahisi kuguswa utaniambia zitabaki porojo za mitandaoni za kuchafuana
 
kwanza hela zenyewe zilipigwa, bado unataka zisichunguzwe , kwanza wewe hili jambo linakuumizaje , au umo kwenye kundi hili?

FB_IMG_1665831491154.jpg
 
biswalo siyo raisi kuguswa na hata cheo cha Dpp siyo rahisi kuguswa utaniambia zitabaki porojo za mitandaoni za kuchafuana
Kweni yule Ibilisi aliguswaje? Mpaka mkaanza kuukimbiza mzoga Kenya na South Afrika.
 
kwanza hela zenyewe zilipigwa , bado unataka zisichunguzwe , kwanza wewe hili jambo linakuumizaje , au umo kwenye kundi hili ?

View attachment 2390124
jembe kutoka chato bado linawapa kazi huku limeshalala [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
jembe kutoka chato bado linawapa kazi huku limeshalala [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2390130
ngoja tuchunguze alikopeleka hela za watu
 
Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria?

CAG hata kama anveweza kukagua ofisi yake kama raisi lazima dosari zionekane na akumbuke kuwa hakuna serikali kuanzia awamu ya nne hadi ya tano ambayo katika idara yoyote ambayo ilikosa dosari katika ukaguzi ambao amewahi kufanya CAG zaidi ya hapo labda huenda baada ya uchunguzi kuna vifungu vya sheria anaweza kumwajibisha aliyewahi kuwa DDP biswalo mganga ambaye kwa sasa ni jaji. wanasema kwa katiba yetu raisi anamamlaka makubwa lolote linaweza kutokea.

Siamini kama serikali ya awamu ya sita ingeweza kumpa ujaji biswalo mganga bila kujuwa tuhuma zinazosemwa hivi sasa, nachofaham lazima walijiridhisha kwa mambo mengi hadi kuteuliwa kwake. zitto na wenzake wapo kwa ajiri ya kazi maalumu ya kuchafua ligacy ya aliyekuwa raisi wa awamu ya tano Dr.john pombe magufuli lakini wajue kuwa hilo haliwezekani na halitiwezekana hata siku moja.

Mitego anayoingia raisi kuna kilasababu yakuweza kuiangalia ili asije ajaingizwa kwenye kuharibu serikali yake maana zaidi yakuongeza vijana wengine ajue kuwa anaofanya nao kazi ni walewale.

Mtu yeyote anayelalamika kudhulumiwa mali zake ana haki yakwenda kwenye vyombo vya sheria kuliko kushambulia aliyekuwa mteule wa raisi na kama aliwaibia mnahaki ya kumfungulia mashitaka yoyote yale mnayoona yanafaa.

Nachifahamu kila mwenye kesi a yoyote kila kitu kilikuwa kinafanywa kwa makubaliano na kwa mjibu wa sheria.

Mheshimiwa raisi kuwa makini na magenge hayo yanayotaka kila kitu yakuamulie mengine amua mwenyewe, tuhuma ni nyingi mno na baadhi ya maneno yanayosemwa na mwandishi wa habari erick kabendera yanaweza yakaleta taharuki nchini
Kama yalifanyika kwa mujibu wa dheria so ndo Mana ya uchunguzi ili kujiridhisha. Kama yalifanyika kwa mujibu wa dheria basi Haina nomal lakini Kama yalifanyika kinyume pia inulikane. We unaogopa nini mzee au unajihami yasikukute

He hujui Kama jpm hakuwa anaamini kabisa katika sheria? Sheria ulikuwa mdomoni mwakae kwa matamko tu akitamka inatekelezwa usipotekeleza watu wasiojulikana wanakupoteza.

Acha mama mfata sheria na haki awafute machozi wanae
 
jembe kutoka chato bado linawapa kazi huku limeshalala [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2390130
Wakati huo mimi nilikuwa nasikiliza kibao muruwaa kabisa cha Mzanzibari huyu👇
 
Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria?

CAG hata kama anveweza kukagua ofisi yake kama raisi lazima dosari zionekane na akumbuke kuwa hakuna serikali kuanzia awamu ya nne hadi ya tano ambayo katika idara yoyote ambayo ilikosa dosari katika ukaguzi ambao amewahi kufanya CAG zaidi ya hapo labda huenda baada ya uchunguzi kuna vifungu vya sheria anaweza kumwajibisha aliyewahi kuwa DDP biswalo mganga ambaye kwa sasa ni jaji. wanasema kwa katiba yetu raisi anamamlaka makubwa lolote linaweza kutokea.

Siamini kama serikali ya awamu ya sita ingeweza kumpa ujaji biswalo mganga bila kujuwa tuhuma zinazosemwa hivi sasa, nachofaham lazima walijiridhisha kwa mambo mengi hadi kuteuliwa kwake. zitto na wenzake wapo kwa ajiri ya kazi maalumu ya kuchafua ligacy ya aliyekuwa raisi wa awamu ya tano Dr.john pombe magufuli lakini wajue kuwa hilo haliwezekani na halitiwezekana hata siku moja.

Mitego anayoingia raisi kuna kilasababu yakuweza kuiangalia ili asije ajaingizwa kwenye kuharibu serikali yake maana zaidi yakuongeza vijana wengine ajue kuwa anaofanya nao kazi ni walewale.

Mtu yeyote anayelalamika kudhulumiwa mali zake ana haki yakwenda kwenye vyombo vya sheria kuliko kushambulia aliyekuwa mteule wa raisi na kama aliwaibia mnahaki ya kumfungulia mashitaka yoyote yale mnayoona yanafaa.

Nachifahamu kila mwenye kesi a yoyote kila kitu kilikuwa kinafanywa kwa makubaliano na kwa mjibu wa sheria.

Mheshimiwa raisi kuwa makini na magenge hayo yanayotaka kila kitu yakuamulie mengine amua mwenyewe, tuhuma ni nyingi mno na baadhi ya maneno yanayosemwa na mwandishi wa habari erick kabendera yanaweza yakaleta taharuki nchini
ACHA makaburi yafukuliwe , tulitwseka sana na kurudishwa nyuma kwa kulazimisha tukubali
 
Haina haja ya kufufua makaburi mkuu hayo raisi angeachana nayo
 
biswalo siyo raisi kuguswa na hata cheo cha Dpp siyo rahisi kuguswa utaniambia zitabaki porojo za mitandaoni za kuchafuana
Huitambui sauti ya umma wewe! Hakuna mkubwa kuliko umma hili ishi nalo!
Dpp siyo mahakama, jiulize alipata wapi nguvu ya kutoza watu faini kabla ya kuhukumiwa? Na kwanini fedha zile hazikwenda hazina na hazikutozwa Kwa control number? Kama zilifunguliwa account nani alikuwa signatory? Ukinijibu itakuwa umewasaidia wengi! Wizi wa mchana kweupe siyo?
 
Back
Top Bottom