Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria?

CAG hata kama anveweza kukagua ofisi yake kama raisi lazima dosari zionekane na akumbuke kuwa hakuna serikali kuanzia awamu ya nne hadi ya tano ambayo katika idara yoyote ambayo ilikosa dosari katika ukaguzi ambao amewahi kufanya CAG zaidi ya hapo labda huenda baada ya uchunguzi kuna vifungu vya sheria anaweza kumwajibisha aliyewahi kuwa DDP biswalo mganga ambaye kwa sasa ni jaji. wanasema kwa katiba yetu raisi anamamlaka makubwa lolote linaweza kutokea.

Siamini kama serikali ya awamu ya sita ingeweza kumpa ujaji biswalo mganga bila kujuwa tuhuma zinazosemwa hivi sasa, nachofaham lazima walijiridhisha kwa mambo mengi hadi kuteuliwa kwake. zitto na wenzake wapo kwa ajiri ya kazi maalumu ya kuchafua ligacy ya aliyekuwa raisi wa awamu ya tano Dr.john pombe magufuli lakini wajue kuwa hilo haliwezekani na halitiwezekana hata siku moja.

Mitego anayoingia raisi kuna kilasababu yakuweza kuiangalia ili asije ajaingizwa kwenye kuharibu serikali yake maana zaidi yakuongeza vijana wengine ajue kuwa anaofanya nao kazi ni walewale.

Mtu yeyote anayelalamika kudhulumiwa mali zake ana haki yakwenda kwenye vyombo vya sheria kuliko kushambulia aliyekuwa mteule wa raisi na kama aliwaibia mnahaki ya kumfungulia mashitaka yoyote yale mnayoona yanafaa.

Nachifahamu kila mwenye kesi a yoyote kila kitu kilikuwa kinafanywa kwa makubaliano na kwa mjibu wa sheria.

Mheshimiwa raisi kuwa makini na magenge hayo yanayotaka kila kitu yakuamulie mengine amua mwenyewe, tuhuma ni nyingi mno na baadhi ya maneno yanayosemwa na mwandishi wa habari erick kabendera yanaweza yakaleta taharuki nchini
Kha angalau afukue uozo mdogo wa lile jambazi lililofukiwa chattle. Labda yale masaidizi yake yatafikiwa endelea madam!
 
Tulieni ile legacy ya yule kiongozi muovu iwekwe hadharani. Wakati mnapora watu kwa ulevi wa madaraka hamkujua kuwa yana mwisho? Sasa mnaona yule kiongozi wenu muovu uchafu wake unaenda kuanikwa, mnaanza kujihami na awamu nyingine.

Safari hii tunachanguza uchafu wa awamu ya dhalimu, na nyie kachunguzeni ya awamu ya nne na hii ya 5+. Mtaonyesho ni sheria gani mlitumia kupora fedha kwenye bureau de change za watu, majizi na wauaji wakubwa nyie.
Sheria ilipitishwa bungeni naona mnajikuna wenyewe tu
 
Ni "rahisi" na si "raisi".
Kama kuandika tu kunakupa shida,unatoa wapi uhalali wa kupinga jambo jema la kutupatia haki sisi tuliodhulumiwa na mwenda kuzimu na genge lake!!??

kanunua simu jana msemeheni
 
Back
Top Bottom