Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

Wale jamaa walikua wanazoa nakumbuka kesi mmoja ya Mwanasheria yule wa Arusha walichukulia magari yake ya kifahari sijawahi kusikia mnada wake palikua na Mjeruman tuu...mimi nilijua ule ni wizi tu kama wizi mwingine...
 
Wale jamaa walikua wanazoa nakumbuka kesi mmoja ya Mwanasheria yule wa Arusha walichukulia magari yake ya kifahari sijawahi kusikia mnada wake palikua na Mjeruman tuu...mimi nilijua ule ni wizi tu kama wizi mwingine...
wizi kwasababu wewe hujaskia mnada wake? Au una sababu nyingine ya kusema hivyo
 
Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria?
Ile haikuwa kisheria ilifanyika kihuni bin kujambazi bin ukatili!
Ni aibu sana kuleta hoja kuwa uchunguzi usifanyike!
Kwanza elewa fedha zilizotolewa sio zilizofikishwa BoT
Hata kabla ya kufikia kwenye bargain tayari walishatishwa na kutoa rushwa ya fedha!
Uchunguzi ni lazima, haki itendeke, fedha zijulikane ziko wapi na wahuni majambazi wachukuliwe hatua za kisheria!
 
Hizi ni hadithi ambazo hazina maana na ambazo haziwezi kuzingatiwa na kila mwenye akili timamu na mkweli wa nafsi.

Uchunguzi hasa unalenga kujua kwa nini pesa waliyolipa watuhimiwa ilichukuliwa na marehemu na huyu rafiki yake, mganga. Huu ni wizi. Na wizi hauwezi kuzikwa kwa hizi ngonjera zenu.

Kama wewe ni miongoni mwa waliogawana hii pesa, mjue lazima, hata kama si leo au kesho, kuna siku mtajuta tu.

Mnakuwa, na neno kila dakika, eti mzalendo, kumbe ni wezi wa pesa ya umma na ya watu binafsi. Mliiba kwanza 1.5 trillion, mkaona haitoshi, mpaka mkaenda kuwapora watu binafsi, pesa zao. Ule haukuwa utawala bali ushetani.
 
Wanufaika utawajua tu
Eti lipo kisheria
Kuiba nako kupo kisheria? Kudhulumu je
Bureau de Change walibeba mpaka laptops za nini? Mbona hazijarudi ziko wapi na hela je
Hapo pia kulikuwa na uhalali wa kupora

Kwanini mnateteaga wizi
Acheni uchunguzi ufanyike na kama ulikuwa ni haki sawa
 
biswalo siyo raisi kuguswa na hata cheo cha Dpp siyo rahisi kuguswa utaniambia zitabaki porojo za mitandaoni za kuchafuana
Ana nini cha pekee, hadi asiguswe? Suburia hili jizi, siku litakaposimamishwa kizimbani. Hakuna uovu usio na malipo.
 
Kama mchakato wa hizo pesa ulikua halali kwanini watu wakatae usichunguzwe?

Maradona akiwa jiji la Naples 1991 alikwepa kodi kwa miaka mingi mfululizo ila hiyo haukuzuia hata baada ya miaka mingi kupita suala hili likaibuliwa kwa uwazi na kugundulika ni kweli alikwepa kodi.
 
Uko njiani kucheua mpunga babaaaaa
 
Fisadi mkubwa wewe uliyefaidika na udhulumaji wa bwana yule
 
Hakuna anayetetea ila tunataka kama ni uchunguzi wa wizi ufanyike kwa wizi wote uliowahi kutokea sio kudandia swala hili kwasababu ya maslahi ya watu fulani wenye uwezo wa kununua 'haki'. DOWANS, EPA, ESCROW, RICHMOND na mikataba ya kitapeli nayo ichunguzwe. Twiga wamepandishwa ndege, tani 1 ya cocaine imekamatwa kule kusini uchunguzi utafanyika lini? Kama hayo kombe linafunikwa hili la plea bargain linavaliwa njuga kwa maslahi ya nani? Tusije tukawa tunajifanya tunatafuta haki kumbe uhuni mtupu
 
Pole sana
 
Uchunguzi ufanyike ukweli ujulikane,kama ilivyokuwa South africa (time ya ukweli na maridhiano)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…