Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

MAMA ATAENDELEA KUWA RAISI COZ AMESHAKUBALIANA NA DEEP STATE KUHUSU UELEKEO WA NCHI!!!NDIO MAANA KAINGIZA KIMKAKATI WATU NDANI YA BARAZA LA MAWAZIRI!!KAMA KINA MAKAMBA JUNIOR!!!MISSION ISHAFELI!!
 
Almighty God have mercy on us, destroy their evil plan and give us the best among the best, in Jesus might name, everyone say AMEEN
tatizo kubwa hawa watu huwa tunawaombea sana mbele za Mungu lakini huwa wanajiungamanisha sana na miungu na mambo ya giza na kumfanya Bwana apate ugumu wa kuwazingira
 
Kwa hiyo deep state hawakutama Rais anayepinga Rushwa..wala kutetea Rasilimali zetu..siyo?

Kifo cha Magufuri sio Corona wala Tatizo la moyo ila magonjwa haya mawili yametumika kama kivuli,sababu kubwa ni jinsi alivyokuwa anaongoza nchi.Tatizo lenu tukitabiri mnatuona wapuuzi na Mods wanafuta nyuzi zetu.Hili swala nililiota 2016 na hata kabla ya kuwa Rais niliota kwamba yeye ndio Rais,kwakifupi nilioneshwa maisha ya mwisho ya Magufuri kuja kuwa Rais na kifo chake
 
Basi tuotee nani atakuwa Rais wa Tanzania 2025?

Back
Top Bottom