NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Mi hao The state siwaamini tena!!Waliachaje Chama kikaingiza mtu asiefaa kwenye uraisi?kwa nini???Wametuumiza sana na nimevunjwa moyo sana tu!!!Mmmh nimeogopa sana yani kama kweli
Hakuna cha The state ila ni manyangau fulani tu ili kulinda biashara zao walizoingia na watu mara baada ya mtoto wao kuingia cha kike huko kwa Xi- Jiping.Mi hao The state siwaamini tena!!Waliachaje Chama kikaingiza mtu asiefaa kwenye uraisi?kwa nini???Wametuumiza sana na nimevunjwa moyo sana tu!!!
Hata mm nliwahi kusikia nikapuuzia labda juvi wa mambo waje watiririkeHivi nimesikia Professor wa pale Taasisi ya moyo anahusika kindakindaki kukamilisha hii issue
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule tunaenda kujifunza kufundishwa sio kusoma mkuuHapo kwenye bold umeandika nini..[emoji23]
Shuleni ulisomea FaizaFoxy
Basi huyo Mungu atakiwa weak. Mungu gani anayeshindwa na viumbe wake eti kisa wamejiungamanisha na miungu na mambo ya giza ambayo kayaumba yeye.tatizo kubwa hawa watu huwa tunawaombea sana mbele za Mungu lakini huwa wanajiungamanisha sana na miungu na mambo ya giza na kumfanya Bwana apate ugumu wa kuwazingira
[emoji30]Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Hapa Kuna logic! Huwa najiuliza hivi kweli Mungu anashindwa?Basi huyo Mungu atakiwa weak. Mungu gani anayeshindwa na viumbe wake eti kisa wamejiungamanisha na miungu na mambo ya giza ambayo kayaumba yeye.
Huyo atakuwa Mungu fake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hebu ota tena kama mama hayati tayari keshapata mchumba
Yule waliyemnyofoa walizingua sanaMi hao The state siwaamini tena!!Waliachaje Chama kikaingiza mtu asiefaa kwenye uraisi?kwa nini???Wametuumiza sana na nimevunjwa moyo sana tu!!!
MmhWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Vipi sasa Chadema wanaelekea kuchukua nchi!? Msalimie Mbowe.Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Ulimnanga sana mtoa mada.Badala ya hoja unaleta udaku.