Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mi hao The state siwaamini tena!!Waliachaje Chama kikaingiza mtu asiefaa kwenye uraisi?kwa nini???Wametuumiza sana na nimevunjwa moyo sana tu!!!
Hakuna cha The state ila ni manyangau fulani tu ili kulinda biashara zao walizoingia na watu mara baada ya mtoto wao kuingia cha kike huko kwa Xi- Jiping.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo kubwa hawa watu huwa tunawaombea sana mbele za Mungu lakini huwa wanajiungamanisha sana na miungu na mambo ya giza na kumfanya Bwana apate ugumu wa kuwazingira
Basi huyo Mungu atakiwa weak. Mungu gani anayeshindwa na viumbe wake eti kisa wamejiungamanisha na miungu na mambo ya giza ambayo kayaumba yeye.
Huyo atakuwa Mungu fake
 
Basi huyo Mungu atakiwa weak. Mungu gani anayeshindwa na viumbe wake eti kisa wamejiungamanisha na miungu na mambo ya giza ambayo kayaumba yeye.
Huyo atakuwa Mungu fake
Hapa Kuna logic! Huwa najiuliza hivi kweli Mungu anashindwa?
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Mmh
 
Back
Top Bottom