Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Teh teh tunasubiri mhuni aanguke chini. 😆😆
 
...huyu jamaa Tumia akili ni mmoja wa waasisi wa assassination ya mwendazake Ila baada ya mwendazake ametoka kwenye system...Sasa hivi hajui chochote kinachoendelea jikoni...ndo maana siku hizi huwezi tena kuona nyuzi zake humu jamvini. ..trust me
Assassination gani? Serikali ilishatoa taarifa za ugonjwa wa moyo. Nyuzi zake nimeziona hata mwaka huu ingawa haandiki sana
 
...huyu jamaa Tumia akili ni mmoja wa waasisi wa assassination ya mwendazake Ila baada ya mwendazake ametoka kwenye system...Sasa hivi hajui chochote kinachoendelea jikoni...ndo maana siku hizi huwezi tena kuona nyuzi zake humu jamvini. ..trust me
Wewe labda hujamfuatilia
 
Mwendazake aliwekewa pacemaker zama anafanya Masters Degree mlimani.
 
Kumbe zile tetesi kwamba he was assassinated zina uhakika sasa.
 
Una maana haya madharau dhidi ya covid19 yata backfire na kumpiga kulekule alikojificha?😎

Au unakusudia kusema nini?

Napita tu jameni.
Watu mnaona mbali.na kweli yametokea.jpm is not more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…