Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mweh!.. mabeberu sio watu wazuri! Naamini huko yalipo yanachekelea kama yalivyochekelea hadharani alipokufa Rais wa Venezuela na wa Libya!

Sijaona hata pole toka kwa Rais wa US!
Pole ya Nini Sasa wakati hawana urafiki mzuri wa kidipromasia .. marehemu yeye alitoa pongezi kwa Biden aliposhinda uchaguzi !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…