Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

manabii wengi watatokea siku za mwisho.

je wewe ni mmojawapo?
 
Tatizo tunamchukulia Poa sana Madam President Samia!

Show yake ........tusubiri
Huyu mama anamsogelea hata robo huyo aliyepita? Kama kweli wameweza kwa huyo kwa huyu mama kinashindikana nini? Tukae tu pembeni, tuombeane mengine tuyaache tu yalivyo
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
In fact mode ya Katiba yetu ilipofanyiwa marekebisho madogo 1984 na walipoingiza Ibara inayounda nafasi ya Makamu wa Rais iliangalia zaidi kwenye Katiba ya Marekani. Kumbuka hapo nyuma hakukuwa na nafasi ya Makamu wa Rais.

In reality mischief ilikuwa kwamba je Rais ikitokea amefariki ghafla nini kingetokea kiutawala? waliangalia sana hali halisi kwamba anaweza kuibuka mtu akaunda kikosi chake na kujitangaza Rais pia kiutawala/kiusalama nchi haiwezi kukaa bila Amiri Jeshi Mkuu hata kwa dakika moja.

Kiukweli tungepaswa kuiongezea maelezo zaidi lakini Ibara ipo wazi maana ni kumuapisha tu then mambo yanaendelea badala ya kukaa muda fulani msubiri uchaguzi.

Kumbuka ni hatari sana kurudi kwenye uchaguzi ingali hakuna kiongozi wa nchi hapo inakuwa kama no man's land. Anything is prone to mesmerize na inaweza kuleta hali ya kutoelewana.

Haya matatizo ya kikatiba yanazikuta nchi nyingi sana za kiafrika sababu anapofariki kiongozi wa nchi unakuta Katiba haipo wazi kueleza nani ataapishwa kama Amiri Jeshi Mkuu.

Hapo ndio unakuta kikundi cha watu either wanajeshi au wanasiasa wanaamua kumpa mtoto wa Rais au ndugu au anyone na hapo ndipo machafuko huonekana.

Nashukuru sana Nyerere aliona hili tatizo after miaka zaidi ya 35 yametokea na ikatusaidia pamoja kuna kakundi fulani kalitaka kuleta uhuni. Hii dhambi hatutawasamehe kamwe.

Furthermore, Thanks to General Mabeyo, God Bless you.
 
Kuna kitu sijakuelewa kuhusu hiki cheo cha makamu wa rais!

Kusema kwamba cheo cha makamu wa rais kilianza baada ya marekebisho ya katiba '84 si kweli.

Cheo cha makamu wa rais kilikuwepo tangia uhuru na wakati fulani huko nyuma, rais wa Zanzibar alikuwa ni makamu wa pili wa rais.

Labda sura ya 'mgobea mwenza' kutoka upande wa pili wa muungano na kuwa makamu wa rais ndiyo ilianzia hapo katika marekebisho hayo.
 
hivi makamu wa rais Mwinyi alikuwa nani vile? na Nyerere makamu wake aliitwa nani?
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Hakika dunia ina mengi
 
Back
Top Bottom