Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Ulijuaje hili au wewe mtu wa physiology!!?
 
Kuna kitu sijakuelewa kuhusu hiki cheo cha makamu wa rais!

Kusema kwamba cheo cha makamu wa rais kilianza baada ya marekebisho ya katiba '84 si kweli.

Cheo cha makamu wa rais kilikuwepo tangia uhuru na wakati fulani huko nyuma, rais wa Zanzibar alikuwa ni makamu wa pili wa rais.

Labda sura ya 'mgobea mwenza' kutoka upande wa pili wa muungano na kuwa makamu wa rais ndiyo ilianzia hapo katika marekebisho hayo.
Umeulizaa halafu ukajijibu. Anyway Makamu wa Rais kwenye Katiba hakuwepo Ila ilikuwa wanamchukulia kinadharia tu sababu kulikuwa na muungano ambao unahusisha Tanganyika yenye ardhi kubwa na visiwani kwenye ukubwa kidogo.

1984 ndipo ilipokuwa envisaged kwenye Katiba baada ya mabadiliko ya 1977 then yakaja mabadiliko madogo ya 1984 ambayo yaliwekwa pamoja na mambo mengine Bill of Rights lakini hii ya ndio iliweka wazi kabisa utaratibu mzima wa kupatikana Makamu wa Rais na kuestablish ofisi yake kikatiba na haki pamoja na haya mambo mengine kuhusu utawala atafanyaje kazi na endapo Rais akifariki yeye VP ataassume vipi madaraka.

So unajua hata wao Zanzibar waliishia kuicopy tu Katiba yetu save for few amendments ambazo zilikuwa za muhimu kwa kuwa ilikuwa inaapply kwa mazingira ya Zanzibar.
 
Mambo yanazidi kutaradadi. Ndo walisema ataondoka mmona mmoja eh?
 
Hapo anamaanisha Samia...kuhusu ile kauli yake juu ya risasi zilizopigwa kwa lisu...alisema askari wake ni imara hawawezi kukosa mtu kwa risasi nyingi vile....Sasa kwa maneno yake ndo ameamua kumuita MAMA WA MIPASHO
Uko sahihi kabisa. Tulio wengi hatuelewi kabisa nini kilikuwa kinaendelea kwenye swala hili. Ongezea na nyongeza nyingine kwenye post hii hapa #401
 
Mkuu kama unao ufahamu wa masuala ya ndoto na katika mada ile nilieleza kuwa naweza kuliona jambo kwenye ulimwengu wa roho lakini ikachukua muda kutokea.

Haya mambo hatuyaandiki kwa majivuno, dharau na kujionyesha ndio maana haturudi kuelezea zaidi yanapotokea.

Ila nikuambie tu Dr Abdala Kigoda na Samuel Sita walitutoka kama post ile ilivyoeleza bila kumtaja mtu.

Ni vyema kujivika unyenyekevu.
Makosa yao yalikuwa yapi? Binafsi Sitta nilimuona mzalendo kama ilivyokuwa kwa Magu, alisaidia sana kuibua wizi wa JK hasa kwa kupitia kijana wake 'Zitto' .

Vipi kuhusu Ben, ni mipango ya Mungu au ni yaleyale?
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!

Naomba ujitokeze Wana JF tukukabidhi Medali ya Utabiri bora kabisa wa Karne ya 21. Hakuna aliyekuamini lakini ni kweli yametokea!! Mwamba kafukiwa Mama ana nyonga Usukani sasahivi.
Hongera sana kwa utabiri huu.
[emoji1433][emoji1433][emoji1433]
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
May 10 2020 🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mna kikosi kazi cha kuweesha hizi ndoto zenu.
 
Hawajasitisha isipokuwa plan yao imebuma, vijana wa kisasa huwa wanasema. Ni kwamba VP waliyekuwa wanamtarajia siyo yule aliyeteuliwa na Mama. Sasa kuanzia pale mambo yao yakawa yameparanganyika. Mpango wao ungeweza kufanya kazi tu iwapo VP asingekuwa huyu aliyepo sasa. Hii ni kutoka kwenye maktaba ya kichwa changu tu na sina any external sources
Walimtaka nchimbi na hajapata
 
Back
Top Bottom