Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mnajadili afya yake iwasaidie nini? Acha urofa kila mtu amwombee kama ni mgonjwa apone haraka.
 
Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu. Yaani ajitokeze kwa ujinga ambao umeandikwa na mjinga mmoja mtandaoni? Huyo basi hatakua raisi atakua ni VEO

Kuhusu Magufuli na huu ujinga mnaoandika hapa unahusiana vipi?
Acha makasiriko ndugu hapa ni watu wanapiga soga tu muda usonge nashangaa unapaniki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnafikiri Samia hasomi huu Uzi? anausoma sana tu...SEMA wale wote "the state" amewatoa wote kwenye system na ndo maana huwezi kumsikia Tumia akili akitoa huo utabiri wake wa kijinga ...
NB:walimuweza magu Kwa Sababu ya ushamba na ugeni wa mji
 
Mama jana amefuturisha na anaonekana yupo fiti. Nafikiri hizi tetesi zimeenea na kuchagizwa na kauli ya JK majuzi kuwa tumuombee mama. Mama ameonekana jana wote tumemuona mjadala uishie hapo sasa.
Serikali ya kidemokrasia inatakiwa kuwa ya uwazi.

Rais akienda mapumziko ya siku kumi Dubai aseme tu anaenda mapumziko siku kumi Dubai.

Kama kaenda kwa matibabu, aseme tu kaenda kwa matibabu.

Tunajua kazi ya urais ni ngumu, ina majungu mengi, na yeye ni mtu anahitaji mapumziko hata kama ni kwa afya yake ya akili tu.

Hana haja ya kuondoka na kurudi kinyemela.

That is beneath her station and will only create more rumors.
 
Dah!
JamiiForums620360628.jpg
 
Mnafikiri Samia hasomi huu Uzi? anausoma sana tu...SEMA wale wote "the state" amewatoa wote kwenye system na ndo maana huwezi kumsikia Tumia akili akitoa huo utabiri wake wa kijinga ...
NB:walimuweza magu Kwa Sababu ya ushamba na ugeni wa mji
Alishindwa magu bhana sembuse
 
Mnafikiri Samia hasomi huu Uzi? anausoma sana tu...SEMA wale wote "the state" amewatoa wote kwenye system na ndo maana huwezi kumsikia Tumia akili akitoa huo utabiri wake wa kijinga ...
NB:walimuweza magu Kwa Sababu ya ushamba na ugeni wa mji
Sawa , wajanja wa mji bado mpo
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
We mwamba ni mchawi😅
 
Mnafikiri Samia hasomi huu Uzi? anausoma sana tu...SEMA wale wote "the state" amewatoa wote kwenye system na ndo maana huwezi kumsikia Tumia akili akitoa huo utabiri wake wa kijinga ...
NB:walimuweza magu Kwa Sababu ya ushamba na ugeniwa mji
0
Joe Biden alipokwenda kufanyiwa Operesheni, wamarekani walijulishwa na akaandika hati ya kumkabidhi Haris Kamala mamlaka ya Urais kwa muda. Sasa hapa ni lazima utukanwe na kutishwa, sielewi ni kwa nini!!
Kwa Marais wa Afrika hata kama yuko ICU bado hawezi kukaimisha madraka kwa makamu wake😅😅
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Wewe Tumia akili una maono makali sana. Ulichoandika May 2020, kilitokea March 2021.

Hebu njoo huku utupe maono zaidi
 
Back
Top Bottom