Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Utapeli tu, hakuna kitu kama hicho.

Haya yako US ambako wafanyabiashara wakubwa ndio wameikamata serikali, na maamuzi yote shurti yaendane na matakwa yao.

Nchi kama Russia hawana ujinga huo, China hawana ujinga huo...
Tutabishana bure ila ichukulie Kama homework 2025 majira kama haya utarudi na majibu katika uzi huu.
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Muda sio rafiki, utabiri unaelekea kuzama
 
Aisee yaani wengine mnawezaje kuona jamani. Hii yaani almanusura kama vile inaenda kutokea full ila frdha awe Ford, yaani wala hakuwahi kuota kabisa kuwa rais
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Wishful Thinking.
 
Back
Top Bottom