Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Ina maana ndiyo alikuwa FDR mtegemewa au TA alikuwa ni Maembe mwenyeweAliishiwa pumzi baada ya membe kukata moto 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana ndiyo alikuwa FDR mtegemewa au TA alikuwa ni Maembe mwenyeweAliishiwa pumzi baada ya membe kukata moto 😆😆
Yumo humu anakusoma, labda atakujibu.Ina maana ndiyo alikuwa FDR mtegemewa au TA alikuwa ni Maembe mwenyewe
Yumo humu anakusoma,
Sidhani maana ukimya ni mkubwa sana hajatoa post yoyote tangu kipindi hicho ungesema TumainiEl huyo sawa atakuwepo japo naye yuko kimya sana nowadaysYumo humu anakusoma, labda atakujibu.
Tutabishana bure ila ichukulie Kama homework 2025 majira kama haya utarudi na majibu katika uzi huu.Utapeli tu, hakuna kitu kama hicho.
Haya yako US ambako wafanyabiashara wakubwa ndio wameikamata serikali, na maamuzi yote shurti yaendane na matakwa yao.
Nchi kama Russia hawana ujinga huo, China hawana ujinga huo...
Naitunza hii post yako, nitakujibu hiyo 2025 kama nitakuwa hai.Tutabishana bure ila ichukulie Kama homework 2025 majira kama haya utarudi na majibu katika uzi huu.
Aliishiwa pumzi baada ya membe kukata moto 😆😆
Hii mmeirudisha tena...???Ina maana Membe ndio alikua fdr!!?
Nyakati Zimekaribia!!??Hii mmeirudisha tena...???
Tuvute Pumzi... Mambo ya kupeana jakamoyo siyo sasa...Nyakati Zimekaribia!!??
N
Ndio july hii hadi july ijayo sarakasi kuu zinaanza!!Desert storm is real 100%
Muda sio rafiki, utabiri unaelekea kuzamaWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Huwezi jua... Au unataka kuuharakisha?Muda sio rafiki, utabiri unaelekea kuzama
Haya bwana, tupe jina hata kwa codeMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Zimeanza ?Ndio july hii hadi july ijayo sarakasi kuu zinaanza!!
Aisee yaani wengine mnawezaje kuona jamani. Hii yaani almanusura kama vile inaenda kutokea full ila frdha awe Ford, yaani wala hakuwahi kuota kabisa kuwa raisWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Wishful Thinking.Wakuu,