Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
This could have been stage managed ili mkulu amtumbue kwa kisingizio cha kutumia madaraka vibaya-na sio kuhusiana na vyeti-Tanzanians,we need to look at the bigger picture
 
Bashite ananyanyasa sana watu wa dar na Rais anamlinda
 
makonda ameshakuwa historia kabla ya muda wake haujafika
 
Nyie ndio mnalea ujinga wa Bashite kwa kivuli cha vita vya madawa ya kulevya. Ukiwa makini utaona kwamba hata ingekuwa vita dhidi kuvaa chupi chafu, kwa mwenendo wake tungekuwa hapa hapa. Acha "herd mentality" na jufunze kutafakari

Kuwaza na kujiaminisha kwa hisia tu ni shidaaaaaH
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Leo si ni jumapili na Mkulu huwa analipuka jumapili. tuombe Mungu tu fisadi, mnyanyasaji na mtu mwenye majivuno yaliyopitiliza apigwe chini. Binafsi namuonea huruma na iliniuma sana yule Dada afisa Ardhi alivyoitwa kichaa.
 
Bampa 2 Bampa" watanzania tume elimika na tunajitambua sana this time..
 
Leo Ndiyo Siku Bashite Atakayolia Kuliko Ile Ya Kanisani.
Atatumbuliwa Jioni
 
Mama Kilango hakuitwa kujadiliana alitoa tamko ila Bashite anaitwa kujadiliana!!!! Ni nchi hii tu unaweza ona ujinga wa aina hii
Alikua mbali na Magogoni
 
Huyu Bashite anayemng'ang'ania hivi na kumkingia kifua soon atamuacha uchi bila nguo. Mambo yanazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyosogea na aibu inazidi. Yaani mtu hadi anaamua kutumia vyombo vya dola kuvamia kituo cha habari kitangaze anayotaka bado mheshimiwa hahisi tu kuwa kuna sababu za kumchunguza huyu "malaika" wake?
 
Na hao wengine wajue mwenzao akinyolewa zako tia maji..... Mond nakupenda kwa ili kuwa makini
 
Kumbe Clouds taarifa zao huwa wanarusha chini ya Mtutu wa bunduki
 
Mkuu
Nikajua kupatwa ni kwa mwezi na jua tu (rc & bishop)
Kumbe Ata nyota zinapatwa ( clouds & mke wa Bishop) lkn chanzo ni dunia (vyeti) wanadamu kuzidisha matukio maovu!!!
Bishop achukue familia yake (Baba, mama & mtoto) sio ile familia ya mwanzo kwa sababu bishop alidanganya ile familia aliyo ongea nayo haina vigezo vya family.
RC nae aweke cheti cha form four tu.
Nape nae awafungie clouds media.
Nahsi vikifanyika hivi vita amna tena.
Mungu bariki Tanzania.
 
Waache waendelee na dharaaaaauuuuuuuuu kwa watanzania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…